Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Messi ajipa matumaini Azam FC

Mshambuliaji wa Azam, Ramadhan Singano ‘Messi’ amesema kuwa hakatishwi tamaa na kitendo cha kutopata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo na ana uhakika atapata nafasi hiyo ndani ya kipindi kifupi kijacho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Kaijage ajipa matumaini

BAADA ya timu ya taifa vijana wanawake (Tanzanite) kukubali kichapo cha mabao 4-0, kutoka kwa Zambia (She-Polopolo) Uwanja wa Azam Complex Chamazi mwishoni mwa wiki iliyopita, kocha mkuu wa kikosi hicho, Rogasian Kaijage amesema wanakwenda kushinda Zambia.

Tanzanite, imekubali kichapo hicho cha nyumbani kwenye mchezo wa kwanza wa kutafuta nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia, Papua Guinea, 2017.

Akizungumza na Raia Tanzania, mara baada ya kumalizika mchezo huo Kaijage...

 

9 years ago

Habarileo

Kerr ajipa matumaini Simba

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.

 

10 years ago

GPL

Simba SC yamuuza Messi Azam FC

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Simba umetamka kuwa, upo tayari kumuuza kiungo wao mshambuliaji, Ramadhan Singano ‘Messi’ kwenye klabu yoyote itakayomuhitaji huku ikizionya timu zinazofanya naye mazungumzo ya kumsajili kwa siri. Hiyo ni siku chache tangu utokee mgogoro kati yake na Simba inayommiliki akidai kuwa mkataba wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Messi atia doa urafiki wa Simba, Azam

Usajili wa Ramadhan Singano ‘Messi’ kutoka Simba kwenda Azam kwa mkataba wa miaka miwili umeanza kuibua hisia za ushindani na uhasama mkubwa baina ya timu hizo mbili, ambazo awali zilidhaniwa na wengi kuwa ndugu.

 

9 years ago

Habarileo

Azam matumaini kibao Ligi Kuu

OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Azam FC, Saad Kawemba, ameelezea kufurahishwa na mwenendo wa timu yao kwenye Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu, huku akimsifia kocha wao Stewart Hall kwa mbinu anazotumia.

 

11 years ago

GPL

Azam, Mtibwa kunogesha Tamasha la Matumaini

Kikosi cha timu ya Azam, FC Na Khadija Mngwai
TIMU za Azam FC na Mtibwa Sugar, zinatarajiwa kunogesha Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa kushuka dimbani siku hiyo kuonyeshana ubabe. Tamasha hilo litahusishwa na burudani kibao ikiwa ni pamoja na mechi za Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Simba na Yanga ambao wataonyeshana ubabe kwa kujua nani...

 

10 years ago

GPL

MESSI aonekana ofisi za azam, serikali yaingilia kati

Kiungo mshambuliaji Ramadhan Singano ‘Messi’. Wilbert Molandi na Nassor Gallu
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imewataka wachezaji wa Ligi Kuu Bara kuwa na wanasheria wao wa kusimamia wakati wa kusaini mikataba yao. Kauli hiyo ya serikali imekuja baada ya kiungo mshambuliaji Ramadhan Singano ‘Messi’ kuwa katika mgogoro wa kisheria na...

 

11 years ago

GPL

MTIBWA YAIKALISHA AZAM FC TAMASHA LA MATUMAINI 2014

Patashika wakati wa mtanange kati ya Azam FC na Mtibwa Sugar. Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Musa Mgosi (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Azam.…

 

10 years ago

Mwananchi

MALENGO AFRIKA: Makocha Yanga, Azam wajipa matumaini

>Makocha wa Yanga na Azam wamebeba matumaini makubwa kuelekea mechi zao za kimataifa mwishoni mwa wiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani