Kaijage ajipa matumaini
BAADA ya timu ya taifa vijana wanawake (Tanzanite) kukubali kichapo cha mabao 4-0, kutoka kwa Zambia (She-Polopolo) Uwanja wa Azam Complex Chamazi mwishoni mwa wiki iliyopita, kocha mkuu wa kikosi hicho, Rogasian Kaijage amesema wanakwenda kushinda Zambia.
Tanzanite, imekubali kichapo hicho cha nyumbani kwenye mchezo wa kwanza wa kutafuta nafasi ya kucheza fainali za Kombe la Dunia, Papua Guinea, 2017.
Akizungumza na Raia Tanzania, mara baada ya kumalizika mchezo huo Kaijage...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi18 Oct
Messi ajipa matumaini Azam FC
9 years ago
Habarileo10 Oct
Kerr ajipa matumaini Simba
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerry amesema ana imani ya kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbeya City utakaochezwa mwishoni mwa wiki ijayo jijini Mbeya. Akizungumza Dar es Salaam, Kerry alisema uwezekano wa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Sokoine upo, kwani kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo.
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Murray ajipa changamoto tenis
9 years ago
TheCitizen30 Aug
Kaijage unfazed by AAG group
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Kaijage akunwa na vipaji Arusha
KOCHA wa timu ya taifa ya soka ya wanawake, Twiga Stars, Rogasian Kaijage, amefurahishwa na kiwango cha kusakata soka kwa timu za wanawake za Mkoa wa Arusha. Mbali na kuwapongeza,...
9 years ago
Habarileo26 Aug
Kaijage ashukuru mashabiki Twiga Stars
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya wanawake, Twiga Stars, Rogasian Kaijage amewashukuru mashabiki wanaounda kundi la ushangiliaji wa timu za taifa waliokwenda kuwashangilia Zanzibar.
9 years ago
Habarileo29 Dec
Mbunge ajipa miezi 6 kero ya shuka hospitali
MBUNGE wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka ameahidi kumaliza tatizo la shuka katika Hospitali ya Rufaa ya Kitete, mkoani Tabora katika kipindi cha miezi sita ijayo.
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Beki Simba ajipa likizo timu ya Taifa
NA ZAINAB IDDY
BEKI wa Simba, Abdi Banda, amesema kuwa kwa hivi sasa hana mpango wa kuitumikia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hadi baada ya mwaka mmoja kutokana na majanga aliyokutana nayo akiwa na timu hiyo.
Banda hivi karibuni ameanza mazoezi na kikosi chake cha Simba, baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu kutokana na kusumbuliwa na tatizo la nyama za paja alilolipata akiwa na Taifa Stars kipindi ikijiandaa na michuano ya Afcon ilipokuwa kambini nchini Uturuki.
Akizungumza na...
9 years ago
Habarileo02 Sep
Kaijage aomba soka ya wanawake iungwe mkono
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amesema mpira wa wanawake unahitaji kuungwa mkono kama ilivyo kwa wanaume.