Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Messi atia doa urafiki wa Simba, Azam

Usajili wa Ramadhan Singano ‘Messi’ kutoka Simba kwenda Azam kwa mkataba wa miaka miwili umeanza kuibua hisia za ushindani na uhasama mkubwa baina ya timu hizo mbili, ambazo awali zilidhaniwa na wengi kuwa ndugu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Simba SC yamuuza Messi Azam FC

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Simba umetamka kuwa, upo tayari kumuuza kiungo wao mshambuliaji, Ramadhan Singano ‘Messi’ kwenye klabu yoyote itakayomuhitaji huku ikizionya timu zinazofanya naye mazungumzo ya kumsajili kwa siri. Hiyo ni siku chache tangu utokee mgogoro kati yake na Simba inayommiliki akidai kuwa mkataba wake...

 

9 years ago

Mwananchi

Messi ajipa matumaini Azam FC

Mshambuliaji wa Azam, Ramadhan Singano ‘Messi’ amesema kuwa hakatishwi tamaa na kitendo cha kutopata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo na ana uhakika atapata nafasi hiyo ndani ya kipindi kifupi kijacho.

 

10 years ago

GPL

MESSI aonekana ofisi za azam, serikali yaingilia kati

Kiungo mshambuliaji Ramadhan Singano ‘Messi’. Wilbert Molandi na Nassor Gallu
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imewataka wachezaji wa Ligi Kuu Bara kuwa na wanasheria wao wa kusimamia wakati wa kusaini mikataba yao. Kauli hiyo ya serikali imekuja baada ya kiungo mshambuliaji Ramadhan Singano ‘Messi’ kuwa katika mgogoro wa kisheria na...

 

10 years ago

Mtanzania

Simba, Messi hakijaeleweka

MESSI GOALNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MGOGORO wa kimkataba wa winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake hiyo umezidi kutikisa baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana.

Messi analalamikia mkataba wake kughushiwa kwa kuongezwa mwaka mmoja zaidi unaomalizika mwakani, tofauti na ule wa awali aliosaini yeye unaofikia tamati Julai mwaka huu.

Uongozi wa Simba umekuwa ukikana madai hayo ukidai Messi alisaini mwenyewe mkataba huo wa mwaka mmoja, kabla ya ule wa awali kumalizika...

 

10 years ago

Mwananchi

Messi aigaragaza Simba

Hatimaye Ramadhan Singano ‘Messi’ sasa yuko huru. Ni baada ya sakata lililodumu kwa miezi kadhaa baina ya mshambuliaji huyo na klabu yake, Simba ambayo ameibwaga.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba, Messi wafikia pabaya

MESSI GOALNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...

 

11 years ago

GPL

Messi wa Simba azawadiwa gari

Kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Mwandishi Wetu
KIUNGO nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ amepata baraka baada ya kupewa zawadi ya gari na mwanachama wa klabu hiyo. Mwanachama wa siku nyingi wa Simba, Musley Luwah ambaye amekuwa karibu na klabu ya Simba tokea akiwa mtoto mwaka 1977, ndiye aliyetoa zawadi hiyo. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Simba zinaeleza mwanachama...

 

10 years ago

GPL

Mkataba wa Messi wawavuruga wachezaji Simba

Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Hans Mloli
BAADA ya kuibuka kwa sekeseke la mkanganyiko wa mkataba baina ya Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba SC na kisha kupatiwa ufumbuzi na TFF, suala hilo sasa limetawala vichwa vya wachezaji wa timu hiyo na wamezungumza machache juu ya umakini unaohitajika kuanzia sasa katika masuala hayo. Wachezaji waliozungumzia masuala hayo ni wale ambao wamebakiza...

 

10 years ago

Michuzi

"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION

  Meneja wa timu ya Coastal Union,Akida Machai kushoto akimkabidhi Jezi ya Klabu ya Coastal Union winga mpya wa Kulia,Ibrahim Twaha "Messi"mara baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo. winga wa kulia Mpya wa Coastal Union Ibrahim Twaha " Messi" akisaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Coastal Union kulia ni Katibu Mkuu,Kassim El Siagi kushoto ni Meneja wa timu ya Coastal Union Akida MachaiTIMU ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kufanya usajili wa nguvu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani