Messi wa Simba azawadiwa gari
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsGPsANl-m4YvbcIpYWOZjdeoidcD8ke-k2Q8RN-CuZRe3EW-NGgxkAHr3JKGYWq81wjbcgqxAAqxF60j7JxWEa/mesi.gif?width=650)
Kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Mwandishi Wetu KIUNGO nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ amepata baraka baada ya kupewa zawadi ya gari na mwanachama wa klabu hiyo. Mwanachama wa siku nyingi wa Simba, Musley Luwah ambaye amekuwa karibu na klabu ya Simba tokea akiwa mtoto mwaka 1977, ndiye aliyetoa zawadi hiyo. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Simba zinaeleza mwanachama...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KGb8vxx0YmIMYwp237o6uEuLoFwHEhk49Qd28p8LiQDtQxw*pbiJ-JhV-XjarlzfjVzxCikR8J1PTEtmFLjBvYppPTRGkox/devota.jpg?width=650)
MIAKA 20 YA NDOA, DEVOTA AZAWADIWA GARI
10 years ago
Vijimambo07 Feb
MTEMBEAJI WA MIGUU WA MAILI 21 KILA SIKU HATIMAE AZAWADIWA GARI
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/02/02/2542322A00000578-2935860-image-a-26_1422850054021.jpg)
![](https://fbexternal-a.akamaihd.net/safe_image.php?d=AQDRFdkaJ_JHr0J2&w=470&h=246&url=https%3A%2F%2Ffbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net%2Fhphotos-ak-xfp1%2Ft31.0-8%2Fs720x720%2F1957922_790127894375979_6415494566959589772_o.jpg&cfs=1&upscale=1&sx=0&sy=0&sw=720&sh=377)
![](http://www.gannett-cdn.com/-mm-/2f13a0af1368f9e7bf8486b79cf4b61006cbf62e/c=0-146-2400-1496&r=x1803&c=3200x1800/local/-/media/DetroitFreePress/2015/02/06/B9316150838Z.1_20150206134644_000_GCP9SS8OR.1-0.jpg)
James Robertson mkaazi wa Detroit aliyetembea maili 21 kwenda kazini kwa takribani muongo mmoja hatimaye apata gari baada habari zake kuenea kwenye mitandao.
James Robertson ambaye amekua akitembea kwa miguu maili 21 kila siku aliitwa kwenye kampuni inayouza magari na kupewa gari...
10 years ago
Mtanzania29 May
Simba, Messi hakijaeleweka
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MGOGORO wa kimkataba wa winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake hiyo umezidi kutikisa baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana.
Messi analalamikia mkataba wake kughushiwa kwa kuongezwa mwaka mmoja zaidi unaomalizika mwakani, tofauti na ule wa awali aliosaini yeye unaofikia tamati Julai mwaka huu.
Uongozi wa Simba umekuwa ukikana madai hayo ukidai Messi alisaini mwenyewe mkataba huo wa mwaka mmoja, kabla ya ule wa awali kumalizika...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Messi aigaragaza Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuCYrNo3xR5QiQnlpb75WTZe*SykbWnfQlxudXy8Vxs0msp14HM1ZToIqDHw4mUrGniCOyo5So0EUrZ4mgAHaTHz/tyytyfyf.gif)
Simba SC yamuuza Messi Azam FC
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Simba, Messi wafikia pabaya
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
USAJILI : Simba yaweweseka kwa Messi
10 years ago
Michuzi"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Maswali magumu sakata la Messi, Simba
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), tayari limemaliza mgogoro wa mkataba uliokuwa ukimhusisha winga, Ramadhan Singano ‘Messi’ na uongozi wa klabu yake ya Simba.
Messi alikuwa akidai mkataba wake umechezewa na Simba kwani awali ulitakiwa kumalizika Julai mwaka huu, lakini uliopo kwa uongozi hivi sasa unaonyesha unamalizika Julai mwakani.
Hivyo katika kikao walichokiandaa TFF juzi kuzikutanisha pande hizo mbili, umetoka uamuzi wa kufuta mikataba yote na sasa...