Simba, Messi wafikia pabaya
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Uhaba wa ajira wafikia pabaya
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Messi aigaragaza Simba
10 years ago
Mtanzania29 May
Simba, Messi hakijaeleweka
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MGOGORO wa kimkataba wa winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake hiyo umezidi kutikisa baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana.
Messi analalamikia mkataba wake kughushiwa kwa kuongezwa mwaka mmoja zaidi unaomalizika mwakani, tofauti na ule wa awali aliosaini yeye unaofikia tamati Julai mwaka huu.
Uongozi wa Simba umekuwa ukikana madai hayo ukidai Messi alisaini mwenyewe mkataba huo wa mwaka mmoja, kabla ya ule wa awali kumalizika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuCYrNo3xR5QiQnlpb75WTZe*SykbWnfQlxudXy8Vxs0msp14HM1ZToIqDHw4mUrGniCOyo5So0EUrZ4mgAHaTHz/tyytyfyf.gif)
Simba SC yamuuza Messi Azam FC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsGPsANl-m4YvbcIpYWOZjdeoidcD8ke-k2Q8RN-CuZRe3EW-NGgxkAHr3JKGYWq81wjbcgqxAAqxF60j7JxWEa/mesi.gif?width=650)
Messi wa Simba azawadiwa gari
10 years ago
Michuzi"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION
10 years ago
Mwananchi03 Jun
USAJILI : Simba yaweweseka kwa Messi
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Maswali magumu sakata la Messi, Simba
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), tayari limemaliza mgogoro wa mkataba uliokuwa ukimhusisha winga, Ramadhan Singano ‘Messi’ na uongozi wa klabu yake ya Simba.
Messi alikuwa akidai mkataba wake umechezewa na Simba kwani awali ulitakiwa kumalizika Julai mwaka huu, lakini uliopo kwa uongozi hivi sasa unaonyesha unamalizika Julai mwakani.
Hivyo katika kikao walichokiandaa TFF juzi kuzikutanisha pande hizo mbili, umetoka uamuzi wa kufuta mikataba yote na sasa...