USAJILI : Simba yaweweseka kwa Messi
Kimya kingi kina mshindo! Ndicho unachoweza kusema baada ya uongozi wa Simba kuibuka na kueleza kuwa utaishtaki Azam FC kutokana na kumshawishi kwa lengo la kumsajili Ramadhani Singano ‘Messi’ pamoja na kuponda usajili uliofanywa na wapinzani wao kwa Malimi Busungu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
usajili wa Messi mtihani kwa Chelsea
10 years ago
Vijimambo24 Dec
usajili wa Messi mtihani kwa Chelsea-BBC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/26/141126135721_lionel_messi_640x360_bbc_nocredit.jpg)
Kocha wa Timu ya Chelsea Jose Mourinho amesema kwa sasa hawana nafasi ya kumsaini mchezaji Lionel Messi kwa kuwa hakuna Fedha ya kutosha kumsajili mchezaji huyo .
Mourinho amesisitiza kuwa hawana uwezo wa kuvunja rekodi ya kumsajili mshindi huyo wa Ballon d'Or Messi, ambaye anahitaji ofa ya pauni milioni 205 kutolewa kutoka klabu ya Barcelona, na kwenda Stamford Bridge katika siku za hivi karibuni .
Mwezi Novemba Messi aligusia kwa mara ya kwanza kuwa angependa...
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Messi aigaragaza Simba
10 years ago
Mtanzania29 May
Simba, Messi hakijaeleweka
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MGOGORO wa kimkataba wa winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake hiyo umezidi kutikisa baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana.
Messi analalamikia mkataba wake kughushiwa kwa kuongezwa mwaka mmoja zaidi unaomalizika mwakani, tofauti na ule wa awali aliosaini yeye unaofikia tamati Julai mwaka huu.
Uongozi wa Simba umekuwa ukikana madai hayo ukidai Messi alisaini mwenyewe mkataba huo wa mwaka mmoja, kabla ya ule wa awali kumalizika...
10 years ago
Mwananchi17 Jun
USAJILI SIMBA : Hatuwataki
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Usajili Simba shaka
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Simba, Messi wafikia pabaya
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuCYrNo3xR5QiQnlpb75WTZe*SykbWnfQlxudXy8Vxs0msp14HM1ZToIqDHw4mUrGniCOyo5So0EUrZ4mgAHaTHz/tyytyfyf.gif)
Simba SC yamuuza Messi Azam FC