Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhaba wa ajira wafikia pabaya

Historia imevunjwa. Uhaba wa ajira kwa wasomi na wataalamu wa kada tofauti umethibitishwa wakati wa usaili wa ajira za wakaguzi wasaidizi wa Idara ya Uhamiaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Simba, Messi wafikia pabaya

MESSI GOALNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Migiro aitetea Serikali uhaba wa ajira kwa vijana

>Wakati Serikali ikitupiwa lawama kwa kushindwa kumaliza  tatizo la ajira kwa vijana nchini, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amekiri kuwa Serikali haina uwezo wa kutoa ajira kwa vijana wote wanaohitimu masomo  nchini.

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Tumewakamata pabaya

1

*Sumaye asema hakuna wa kukifufua chama hicho

NA MAREGESI PAUL, KIOMBOI na Shabani Matutu Dar

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa,  amesema wamekikamata pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa Watanzania sasa wanataka mabadiliko.

Amesema pia kwamba, kitendo cha mamilioni ya Watanzania kutaka mabadiliko, pia kinaungwa mkono na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyewahi kusema Watanzania wanahitaji mabadiliko...

 

11 years ago

BBCSwahili

Pistorius ajikuta pabaya klabuni

Mwanariadha Oscar Pistorius, amedaiwa kuhusika katika malumbano ndani ya klabu moja nyakati za usiku nchini Afrika Kusini

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaishika pabaya Ahly

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly ya Misri umekataa mchezo wa baina yao na wawakilishi wa Tanzania, Yanga kupigwa katika mji wa El Gouna na badala yake umependekeza ufanyike katika jiji la Alexandria.

 

9 years ago

GPL

LULU, WEMA WAFIKA PABAYA

Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Staa wa sinema za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aiweka pabaya Serikali

ZIARA ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Silaa na timu yake, imeutikisa mji wa Songea na vitongoji vyake mkoani Ruvuma, baada ya kupata mapokezi...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli awashika pabaya wabunge

RAIS*Azuia safari zao nje ya nchi, watakiwa wawe na vibali

*Baadhi yao wajikuta wakikwama Uwanja wa Ndege VIP

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa Serikali bila kibali, safari hii kibao kimewagekia wabunge baada ya kuzuiwa kusafiri bila ruhusa maalumu, MTANZANIA imebaini.

Hali hiyo imeonekana kuwavuruga wabunge, kwani baadhi yao wamejikuta wakikwama katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani