Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Tumewakamata pabaya

1

*Sumaye asema hakuna wa kukifufua chama hicho

NA MAREGESI PAUL, KIOMBOI na Shabani Matutu Dar

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa,  amesema wamekikamata pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa Watanzania sasa wanataka mabadiliko.

Amesema pia kwamba, kitendo cha mamilioni ya Watanzania kutaka mabadiliko, pia kinaungwa mkono na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyewahi kusema Watanzania wanahitaji mabadiliko...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Magufuli awashika pabaya wabunge

RAIS*Azuia safari zao nje ya nchi, watakiwa wawe na vibali

*Baadhi yao wajikuta wakikwama Uwanja wa Ndege VIP

NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM

SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa Serikali bila kibali, safari hii kibao kimewagekia wabunge baada ya kuzuiwa kusafiri bila ruhusa maalumu, MTANZANIA imebaini.

Hali hiyo imeonekana kuwavuruga wabunge, kwani baadhi yao wamejikuta wakikwama katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada...

 

10 years ago

Mtanzania

Simba, Messi wafikia pabaya

MESSI GOALNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yaishika pabaya Azam

yangaNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, ameunda jeshi kamili kwa ajili ya kuiangamiza Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii, utakaochezwa Agosti 22 mwaka huu, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Hiyo inaonyesha kuwa ameanza mikakati ya kuishika pabaya Azam, ambapo ameunda kikosi cha kwanza ambacho anaamini kitaifanyia maangamizi Azam.

Mholanzi huyo, ambaye kikosi chake kimejichimbia Tukuyu, mkoani Mbeya kusaka makali ya kulipa kisasi kwa Azam, aliliambia...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga yaishika pabaya Ahly

Uongozi wa Klabu ya Al Ahly ya Misri umekataa mchezo wa baina yao na wawakilishi wa Tanzania, Yanga kupigwa katika mji wa El Gouna na badala yake umependekeza ufanyike katika jiji la Alexandria.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wamshika pabaya Gwajima

>Sasa ni dhahiri kwamba polisi wamemshika pabaya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima baada ya kumhoji na kisha kumtaka arejee katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam Aprili 16, mwaka huu akiwa na vitu 10 vinavyohusu usajili, umiliki, uongozi na mali za kanisa analoliongoza.

 

9 years ago

GPL

LULU, WEMA WAFIKA PABAYA

Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Staa wa sinema za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Utapeli wamfikisha pabaya Muunguja

Mkazi mmoja wa Unguja, amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu, baada ya kupatikana na hatia ya kughushi hati ya kumrithi isivyo halali, Mariam Masanja.

 

10 years ago

GPL

CHRIS, NIA WAFIKISHANA PABAYA!

Staa wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’. New York Marekani
STAA wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ pamoja na mama wa mtoto wake, Nia Guzman wamefikia pabaya kwa kutupiana maneno mitandaoni kisa, mtoto wao Royalty. Nia Guzman akiwa na mwanaye, Royalty. Maneno hayo yamekuja ikiwa ni siku chache zimepita tangu Chris awasilishe jalada la kudai mtoto mahakamani. Kupitia ukurasa wa Instagram...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aiweka pabaya Serikali

ZIARA ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Silaa na timu yake, imeutikisa mji wa Songea na vitongoji vyake mkoani Ruvuma, baada ya kupata mapokezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani