CHRIS, NIA WAFIKISHANA PABAYA!
![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaap-jYmX7gmfXokQ2Qp7eQcnZzZG9vsGsDFxIS3rqxv42HyWpLQzCp*atx4eFqsHLGSIYaqfyoB1DGd-kgDmBNvb/chris.jpg?width=650)
Staa wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’. New York Marekani STAA wa Pop, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ pamoja na mama wa mtoto wake, Nia Guzman wamefikia pabaya kwa kutupiana maneno mitandaoni kisa, mtoto wao Royalty. Nia Guzman akiwa na mwanaye, Royalty. Maneno hayo yamekuja ikiwa ni siku chache zimepita tangu Chris awasilishe jalada la kudai mtoto mahakamani. Kupitia ukurasa wa Instagram...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3QgTREgG9e*Zl4lsZr*dH5tCG1TWRCYCJO4POAL2yj0F*-fOMsQ8yhtKcf8xGxGtygtjOnPzfIhrs0O4QUgkOJoRHn69AJRY/KarruecheTran.jpg?width=650)
KARRUECHE, CHRIS BROWN WAFIKA PABAYA!
5 years ago
GIVEMESPORT18 Mar
WWE news: Chris Jericho says Dark Side of the Ring documentary on Chris Benoit won't glorify him
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Kona ya Makengeza: Tanza-nia isiwe Tanzia-nia
9 years ago
Mtanzania14 Sep
Lowassa: Tumewakamata pabaya
*Sumaye asema hakuna wa kukifufua chama hicho
NA MAREGESI PAUL, KIOMBOI na Shabani Matutu Dar
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, amesema wamekikamata pabaya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa Watanzania sasa wanataka mabadiliko.
Amesema pia kwamba, kitendo cha mamilioni ya Watanzania kutaka mabadiliko, pia kinaungwa mkono na Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyewahi kusema Watanzania wanahitaji mabadiliko...
11 years ago
Mwananchi17 May
Serikali yashikwa pabaya bungeni
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Utapeli wamfikisha pabaya Muunguja
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Magufuli awashika pabaya wabunge
*Azuia safari zao nje ya nchi, watakiwa wawe na vibali
*Baadhi yao wajikuta wakikwama Uwanja wa Ndege VIP
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SIKU chache baada ya Rais Dk. John Magufuli kupiga marufuku safari za nje kwa watumishi wa Serikali bila kibali, safari hii kibao kimewagekia wabunge baada ya kuzuiwa kusafiri bila ruhusa maalumu, MTANZANIA imebaini.
Hali hiyo imeonekana kuwavuruga wabunge, kwani baadhi yao wamejikuta wakikwama katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, baada...
11 years ago
Mwananchi06 Mar
Yanga yaishika pabaya Ahly
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Polisi wamshika pabaya Gwajima