Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIAKA 20 YA NDOA, DEVOTA AZAWADIWA GARI

Stori: Hamida Hassan Katibu Msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amezawadiwa gari aina ya Toyota Harrier Lexus na mumewe aliyemtaja kwa jina la Mr. Mbaga baada ya kudumu katika ndoa kwa muda wa miaka 20. Devota Mbaga Akizungumza na Ijumaa, Devota alisema anamshukuru Mungu kwa kukaa katika ndoa yake kwa amani na hatimaye kutimiza miaka hiyo kwani ni wachache wanaotimiza umri huo.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Messi wa Simba azawadiwa gari

Kiungo nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Mwandishi Wetu
KIUNGO nyota wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ amepata baraka baada ya kupewa zawadi ya gari na mwanachama wa klabu hiyo. Mwanachama wa siku nyingi wa Simba, Musley Luwah ambaye amekuwa karibu na klabu ya Simba tokea akiwa mtoto mwaka 1977, ndiye aliyetoa zawadi hiyo. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Simba zinaeleza mwanachama...

 

10 years ago

Vijimambo

MTEMBEAJI WA MIGUU WA MAILI 21 KILA SIKU HATIMAE AZAWADIWA GARI

James Robertson akitembea maili 21 kwenda na kurudi kaziniJames Robertson akielekea kupanda gari lake alilopewa bure aina ya Ford Taurus ambayo ndio iliyokua chaguo lakeJames Robertson akioka machozi ya kwa furaha.
James Robertson mkaazi wa Detroit aliyetembea maili 21 kwenda kazini kwa takribani muongo mmoja hatimaye apata gari baada habari zake kuenea kwenye mitandao.
James Robertson ambaye amekua akitembea kwa miguu maili 21 kila siku aliitwa kwenye kampuni inayouza magari na kupewa gari...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

11 years ago

Habarileo

Meghji azawadiwa kwa kukaa miaka 9 Wizara ya Maliasili

Zakhia Meghji WIZARA ya Maliasili na Utalii imemzawadia aliyewahi kuwa waziri wake, Zakhia Meghji kwa kuwa pekee aliyeiongoza kwa muda mrefu.

 

11 years ago

GPL

UNAFAHAMU NDOA NI SAWA NA KUMILIKI GARI?

HABARI wapendwa wasomaji wa safu hii. Kesho ni sikukuu ya Krismas, nadhani wengi mmefanya maandalizi mazuri ili watoto wafurahi kwa kujumuika na wenzao katika michezo mbalimbali baada ya ibada. Na siyo vibaya kwa nyinyi wakristo, kutualika hata sisi tusiokuwa wakristo ili tujumuike pamoja katika kumtukuza Mungu, kwani ndiyo kimbilio letu sote. Kichwa cha habari hapo juu kinazungumza kila kitu kuhusu uhusiano wa kimapenzi au...

 

10 years ago

Vijimambo

KHERI YA MIAKA 11 YA NDOA

A wedding anniversary is the celebration of love, trust, partnership, tolerance and tenacity. The order varies for any given year. Happy 11th Wedding Anniversary Edima & Frank

 

11 years ago

GPL

CATHY: MIAKA 13 YA NDOA NIACHIKE, MH!

Stori: GLADNESS MALLYA MSANII mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa hawezi kuachika kwenye ndoa yake iliyodumu kwa miaka 13 na wanaosubiri aachwe, watasubiri sana. Msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akizungumza na paparazi wetu juzi Cathy alisema kuwa, amekuwa akizushiwa kwamba anatoka nje ya ndoa na wasanii tofauti lakini hayo ni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amekamatwa na polisi huko Utah Marekani akiendesha gari la wazazi wake

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka mitano apatikana akiendesha gari la mzazi wake Utah

Akiwa na dola 3 mfukoni mwake, mvulana huyo kutok aeneo la Utah alikuwa anaelekea California kununua gari aina ya Lamborghini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani