Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meghji azawadiwa kwa kukaa miaka 9 Wizara ya Maliasili

Zakhia Meghji WIZARA ya Maliasili na Utalii imemzawadia aliyewahi kuwa waziri wake, Zakhia Meghji kwa kuwa pekee aliyeiongoza kwa muda mrefu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wizara ya Maliasili inaongozwa kwa ubabaishaji

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imesema Wizara ya Maliasili na Utalii inaongozwa kwa ubabaishaji na ‘mvutano wa kimasilahi’ baina ya waziri na katibu mkuu, hivyo kukwamisha shughuli za kuendeleza utalii.

 

5 years ago

CCM Blog

WIZARA YA MALIASILI YATOA MUONGOZO KWA WATALII

  Wizara ya Maliasili na Utalii imeweka mwongozo maalum kwa kampuni zinazojihusisha na watalii, kuhakikisha kuwa wanakuwa na taarifa za mara kwa mara za tahadhari ya maambukizi ya Virusi vya Corona zinazopaswa kuchukuliwa na kufuatwa kwa usahihi.

Mwongozo huo umetolewa na Wizara hiyo kwa lengo la kuhakikisha makampuni hayo yanajiweka tayari ili kuwaepusha watalii kupata maambukizi ya Virusi hivyo na kusisitiza kuwa sehemu zote ambazo ni rahisi kuguswa na mtu yoyote, wahakikishe zinasafishwa...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

11 years ago

GPL

MIAKA 20 YA NDOA, DEVOTA AZAWADIWA GARI

Stori: Hamida Hassan Katibu Msaidizi wa Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amezawadiwa gari aina ya Toyota Harrier Lexus na mumewe aliyemtaja kwa jina la Mr. Mbaga baada ya kudumu katika ndoa kwa muda wa miaka 20. Devota Mbaga Akizungumza na Ijumaa, Devota alisema anamshukuru Mungu kwa kukaa katika ndoa yake kwa amani na hatimaye kutimiza miaka hiyo kwani ni wachache wanaotimiza umri huo.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KWA KUSHIRIKIANA NA ASASI ZA KIMATAIFA WILDAID, AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION WAZINDU KAMPENI YA KUPAMBA NA NA UJADILI WA TEMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangilli wa Tembo uliofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam Juni 18, 2015. Picha zote na CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.Balozi wa Mpya wa Kampeni ya Kupambana na Ujangili wa Tembo, Msanii wa mziki wa kizazi kipya Ali kiba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa kampeni mpya ya kupambana na ujangilli wa Tembo...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.Naibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara ya Maliasili yakubali kukutana na TATO

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imekubali kukaa meza moja na Chama cha Wamiliki wa Makampuni ya Kitalii Nchini (TATO) ili kutafuta ufumbuzi wa mvutano wa kimasilahi uliomudu kwa muda mrefu...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Katika gazeti la Jamhuri la Jumanne Agosti 19 – 25, 2014 ISSN No. 1821-8156 Toleo No. 150, zilichapishwa taarifa potofu zenye  kichwa cha habari;
   KASHFA IKULU;
·    Nyalandu atumia Leseni ya Rais kuua wanyamapori 704 bure,
·    Watakaouawa wamo pia tembo 8, chui 8, Simba 8, ndege,
·    Wauaji ni Wamarekani marafiki wa Waziri wa Maliasili.
I.   
Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuwafahamisha Umma kuwa, tuhuma hizi si za kweli. Tuhuma hizi zimetolewa na watu wenye nia ovu  na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani