Mkataba wa Messi wawavuruga wachezaji Simba
![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-RvYK9XD2X888JKnx3v1F1AQtrUgDqmSZ9dZp5IVlkupeA083PBMzUYc2kLZNVGtM0NVPyzv8Z-Mgmr-SLnUcS0/tgdfgd.jpg?width=650)
Ramadhani Singano ‘Messi’. Na Hans Mloli BAADA ya kuibuka kwa sekeseke la mkanganyiko wa mkataba baina ya Ramadhani Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba SC na kisha kupatiwa ufumbuzi na TFF, suala hilo sasa limetawala vichwa vya wachezaji wa timu hiyo na wamezungumza machache juu ya umakini unaohitajika kuanzia sasa katika masuala hayo. Wachezaji waliozungumzia masuala hayo ni wale ambao wamebakiza...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Jul
FIFA yataja wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la dunia 2014 ‘World Cup Golden Ball Award’, Neymar na Messi waingia
10 years ago
Mwananchi08 Jul
Messi aigaragaza Simba
10 years ago
Mtanzania29 May
Simba, Messi hakijaeleweka
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MGOGORO wa kimkataba wa winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake hiyo umezidi kutikisa baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana.
Messi analalamikia mkataba wake kughushiwa kwa kuongezwa mwaka mmoja zaidi unaomalizika mwakani, tofauti na ule wa awali aliosaini yeye unaofikia tamati Julai mwaka huu.
Uongozi wa Simba umekuwa ukikana madai hayo ukidai Messi alisaini mwenyewe mkataba huo wa mwaka mmoja, kabla ya ule wa awali kumalizika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p8dNfbTfHuCYrNo3xR5QiQnlpb75WTZe*SykbWnfQlxudXy8Vxs0msp14HM1ZToIqDHw4mUrGniCOyo5So0EUrZ4mgAHaTHz/tyytyfyf.gif)
Simba SC yamuuza Messi Azam FC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsGPsANl-m4YvbcIpYWOZjdeoidcD8ke-k2Q8RN-CuZRe3EW-NGgxkAHr3JKGYWq81wjbcgqxAAqxF60j7JxWEa/mesi.gif?width=650)
Messi wa Simba azawadiwa gari
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Simba, Messi wafikia pabaya
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
UTATA wa mkataba wa winga Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake ya Simba sasa umefikia pabaya, baada ya pande hizo mbili kufikiria kushtakiana ili kusaka suluhu.
Wakati Messi akisaka ufumbuzi wa suala hilo kwenye Chama cha Wachezaji wa Soka Tanzania (Sputanza), uongozi wa Simba unataka kumshtaki kama akiendelea kuichafua klabu hiyo kwenye vyombo vya habari.
Winga huyo bado hajakubaliana na Simba kuhusu kusaini mkataba mpya baada ya kudai mkataba wake wa...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
USAJILI : Simba yaweweseka kwa Messi
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Maswali magumu sakata la Messi, Simba
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), tayari limemaliza mgogoro wa mkataba uliokuwa ukimhusisha winga, Ramadhan Singano ‘Messi’ na uongozi wa klabu yake ya Simba.
Messi alikuwa akidai mkataba wake umechezewa na Simba kwani awali ulitakiwa kumalizika Julai mwaka huu, lakini uliopo kwa uongozi hivi sasa unaonyesha unamalizika Julai mwakani.
Hivyo katika kikao walichokiandaa TFF juzi kuzikutanisha pande hizo mbili, umetoka uamuzi wa kufuta mikataba yote na sasa...
10 years ago
Michuzi"MESSI" WA SIMBA ATUA COASTAL UNION