Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Azam zapewa mchekea

Wawakilishi wa Tanzania, Yanga na Azam zimepangiwa timu zenye viwango tofauti mashindano hayo ya klabu Afrika mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Yanga, Azam zapewa mtihani Afrika

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) Azam FC wamepangwa kucheza dhidi ya El Merrikh ya Sudan katika Ligi ya Klabu Bingwa Afrika mwakani huku Yanga wakipewa timu ya BDF XI ya Botswana katika michuano ya Kombe la Shirikisho mwakani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jana, droo ya michuano ya 19 ya Klabu Bingwa Afrika mwakani na michuano ya 12 ya Kombe la Shirikisho barani ilichezeshwa kwenye makao makuu ya CAF jijini Cairo,...

 

10 years ago

Mwananchi

MASHINDANO YA AFRIKA: Azam, Yanga zapewa neno

>Licha ya kushinda mechi zao za awali dhidi ya wapinzani wao, El- Merreikh ya Sudan na BDF XI ya Botswana, Azam na Yanga zimepewa angalizo zinapojiandaa kwa mechi za marudiano.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yapangwa na mchekea Ligi ya Mabingwa

SHIRIKISHO la soka Afrika (CAF) jana lilitoa ratiba ya michuano ya kimataifa mwakani ambapo Yanga imepangwa kuanza na Cercle de Joachim ya Mauritius. Kwa mujibu wa ratiba hiyo, Yanga inayoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, itaanza hatua ya awali.

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam ni kifo

YANGA leo inaikaribisha Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaoamua nani akalie kiti cha uongozi wa ligi hiyo inayoshirikisha jumla ya timu 16.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam na Yanga zinamatumaini

Baada ya kuanza vema mechi zao za michuano ya vilabu barani Afrika, makocha wa wawakilishi wa Tanzania, Azam FC na Yanga wamesema wana matumaini ya kusonga mbele.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam TV waelewana

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wamemaliza tofauti zake na kituo cha runinga cha Azam na sasa iko tayari kupokea fedha za udhamini kwa haki za matangazo kutoka kwa wadhamini hao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani