Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZIZ HASHIM, ZAINAB WAMEREMETA

Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Aziz Hashim, akiwa kwenye picha ya pamoja na mkewe Zainab Hashim, muda mfupi baada ya kufunga ndoa yao iliyofungwa nyumbani kwao na Zainab Tabata jijini Dar es Salaam leo mchana. Aziz Hashim akiwa amembeba mkewe Zainab kwa furaha.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

wadau sereki na zainab wameremeta

 Wadau Sereki na Zainab wakila pozi baada ya kumeremeta hivi karibuni  Sereki na Zainab wakifurahia siku yao ya kwanza pamoja  Mmmmmmmwwwwwwwaaaaaaaa.... Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

5 years ago

Michuzi

Hashim Salum Hashim awa Kada wa 24 kuwania kiti cha Rais wa Zanzibar.


NA ANDREW CHALE,   ZANZIBAR.MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Hashim Salum Hashim (pichani) amekuwa Kada wa 24 kuchukua fomu ya kupata ridhaa ya chama  chake ya kuwa Rais wa Zanzibar.

Hashim Salum Hashim aliwasili majira ya saa Sita mchana na kisha kuchukua fomu hiyo na baadae alioata kuongea na waandishi wa Habari.
Akizungumza alisema:
"Nimekuwa Mwana CCM kwa muda mrefu na kwa miaka 15 nimeweza kuwa katika nyadhifa za kichama hadi sasa ikiwemo Mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

KUMBUKUMBU YA ZAINAB BUZOHELA

Zainab Buzohera Enzi ya Uhai Wake.
Sekunde dakika masaa siku wiki miezi imepita na leo ni mwaka tangu ulipoitwa na Mwenyezi Mungu (S.W.T). na kutuachia uchungu usioelezeka . Pengo ulilotuachia haliwezi kuzibika bali tunamshukuru Mungu kwani kazi yake haina makosa. Tunaendelea kumuomba akupumzishe kwa amani hadi hapo tutakapo kutana kwani sisi wote ni wapitaji.unakumbukwa na baba mzee Haroun mama Bi Rehema wadogo zako ndugu jamaa marafiki na wote waliokufahamu .unakumbukwa sana kwa ucheshi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rostam Aziz, afiwa na baba

ALIYEKUWA mbunge wa Igunga,   Rostam Aziz, (CCM),  amefiwa na baba yake Aziz Abdulrasool (73) jijini Dar es Salaam jana asubuhi. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwa marehemu Oysterbay jana, mtoto...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Zainab Mwinyijuma alamba nondozz yake

Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma (wa tatu kulia) akiwa na wahitimu wenzake wa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING" katika mahafali ya Chuo Kikuu cha The University Of Northampon,UK. Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na Mumewe pamoja na watotowao.Mdau Zainab Rajab Mwinyijuma akiwa na Mama.

 

5 years ago

BBC

Nigeria's Zainab Bulkachuwa retires after 45 years in the judiciary

After 45 years in service, Justice Zainab Bulkachuwa is looking forward to her retirement.

 

11 years ago

Michuzi

AROBAINI YA MPENDWA WETU ZAINAB BUZOHERA DMV

Zainab Buzohera enzi ya uhai wake
Dullah na familia ya Buzohera inawataarifu kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika siku ya Jumapili Feb 9, 2014 kuanzia saa 7 mchana mpaka saa 11 jioni (1pm-5pm) katika mgahawa wa Tabeer uliopo Langley Park chini ya Mirage Hall anuani ni 1401 University Blvd,  Hyattsville, MD 20783. Tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula ili kufanikisha siku hii ambayo ilianzia saa, siku, wiki, mwezi na siku 10...

 

9 years ago

Habarileo

Jabir Aziz alalama matokeo Mwadui

KIUNGO wa Mwadui FC ya Shinyanga, Jabir Aziz, amesema kiwango kinachooneshwa na timu yake kwenye mechi za Ligi Kuu hakiendani na ukubwa wa sifa walizokuwa nazo nje ya uwanja.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Aziz Mlima ateuliwa Balozi Malaysia

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Dk Aziz Ponary Mlima kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani