Baba, waganga 10 mbaroni
POLISI mkoani Rukwa inawashikilia watu 17 wakiwemo waganga wa jadi 10 wakihusishwa na tukio la kikatili katika kijijini cha Kipeta , Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga ambako mtoto mlemavu wa ngozi (albino), Baraka Cosmas (6) mwishoni mwa wiki alishambuliwa na kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Jun
Waganga wa kutibu kwa ngono mbaroni
POLISI Mkoa wa Temeke, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambayo masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
10 years ago
Mwananchi07 Mar
Waganga wa kienyeji 32 watiwa mbaroni Geita
10 years ago
Mtanzania19 Mar
Waganga 13 wa jadi watiwa mbaroni Katavi
NA WALTER MGULUCHUMA, KATAVI
JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi, limewakamata waganga 13 wa jadi katika Tarafa ya Mamba, Wilaya ya Mlele, kwakudaiwa kufanya kazi hiyo bila vibali maalumu.
Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari, aliwaambia waandishi wa habari jana kwamba, waganga hao walikamatwa baada ya msako uliofanyika Machi 14 na 15 mwaka huu.
Pamoja na waganga hao kukamatwa, pia walipopekuliwa kwenye nyumba zao walikutwa na vitu mbalimbali wanavyovitumia kufanyia shughuli...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Baba mbaroni kwa kutesa wanaye
MATESO Hassan Mkazi wa Kijiji cha Karago, Kata ya Sunuka Wilaya ya Uvinza mkoani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kuwafungia ndani watoto wake wanne...
10 years ago
Vijimambo17 Feb
Mbaroni akidaiwa kumuua baba yake
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Misime-17Feb2015.jpg)
Mkazi wa Kitongoji cha Nyamorege kilichopo Mtaa wa Forodhani mji mdogo wa Sirari Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Marwa Kihiri Mwita, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Kihiri Mwita kinyama kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni.
Vilevile inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alijeruhiwa kwa kucharangwa kwa panga na baba yake huyo kabla ya kumjeruhi kwa kumpiga na koleo kichwani na ubavuni baada ya kuzuka ugomvi baina...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Mbaroni akishukiwa mauaji ya baba mzazi
JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Issa Sadick (49), Mkazi wa Itongo tarafa ya Nshamba Wilaya ya Muleba kwa tuhuma za mauaji ya baba yake mzazi na mama yake wa...
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-8
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA:
Ina maana akiamua kusema basi, halafu akaendelea na baba Pili atakuwa ameanza tabia ya kurukaruka…
“Kwani wewe kwa jina la mtoto wako yeyote yule unaitwa baba nani?” mama Pilima alimuuliza mwanaume huyo huku akimwangalia kwa macho yaliyojaa mahaba mazito…
“Naitwa baba P.”TAMBAA NAYO…
“He! Baba P! P ni kifupi au ndiyo jina lote?”
“Kifupi.”
“Kirefu chake?”
“Pilima. Kwa hiyo mimi unaweza kuniita baba Pilima.”
Mama Pilima alicheka sana, akasimama akiendelea kucheka...
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-7
ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA:
Saa kumi juu ya alama, mama Pilima alipokea simu kwa namba asiyoijua, akajua ni baba Pili…
“Haloo…niambie baba Pili…wapi? Ooo…napajua…oke… we umeshafika? Haya nakuja sasa hivi mpenzi wangu…”
BANJUKA NAYO MWENYEWE…
Mama Pilima alichukua usafiri mpaka kwenye hoteli aliyoelekezwa na mwanaume huyo. Akaingia ndani mpaka chumbani bila kupotea ambapo alimkuta mwenyeji wake amejaa tele japo alikuwa hajavua nguo kwa sababu machale yalimcheza…
“Unajua nini…saa zile nakuita...