BABY MADAHA: SIOLEWI KWA KUFUATA MKUMBO
![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVlHmyIEC7JI-naZr9XxznDVt5RFZ9BsrMItQm8JgyyHFy-an7QtJYHz1tQlhEgo612WN4PoghIEa7Yhy3JzgwVM/babay.jpg)
Stori: Rhoda Josiah STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi kuolewa kwa kufuata mkumbo kama ilivyo kwa wasanii wengine. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Baby Madaha alikiri kuwa ana mchumba ambaye ni Joh Kairuki, anampenda sana ila katika suala la kufunga...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDJNYNhMDBdgGGUSbIKYpZE-cVYgcXKEeKzMXddlscN20oKHj8InVYw20-nzSbKZHL1JrReWXyuyZSzEF68mfz9Q/collegestudentsawesome.jpg?width=650)
KUFUATA MKUMBO KUNAVYOATHIRI UFAULU
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Kuhama vyama isiwe kufuata mkumbo
MIAKA 20 iliyopita, Tanzania ilishuhudia idadi kubwa ya wanasiasa na mashabiki wengine kadhaa wa siasa wakirejesha kwa mbwembwe kadi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakizichoma moto hadharani.
Hilyo ilikuwa ni baada ya mmoja kati ya mawaziri wa CCM waliowahi kutamba na kukubalika sana nchini, Augustine Mrema, kuondoka chama hicho na kujiunga na NCCR – Mageuzi na mara moja akapewa uenyekiti na nafasi ya kugombea urais.
Mamia kwa maelfu ya mashabiki wake wakafuatana naye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd662tJdsio-fgnigVfShxzK9cWxnAoO6QuEXPcbjgSDQug8g7tpoYkJFhFrqXHCAuvTY2W1b7mYZBJbZhr2ATiBrz/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA: AJIWEKA KIMAPENZI KWA WYRE
10 years ago
Mtanzania07 May
Baby Madaha: Ubunifu unahitajika kwa wachekeshaji
NA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Madaha, amesema ubunifu kwenye kazi za sanaa hasa za uchekeshaji ni jambo la msingi kuzingatiwa kwa kuwa wasanii wengi wa filamu za vichekesho wamekuwa wakilipua kazi zao na kuchosha watazamaji.
“Suala la ubunifu kwenye kazi za sanaa ni jambo la msingi, inatakiwa shabiki akiangalia filamu ya vichekesho asichoke kuiangalia maana haitakuwa na maana kama filamu ya vichekesho, lakini mtu anaitazama mwanzo hadi mwisho amekasirika badala ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8pnqwPqNt2OxKpB1KtrTeS41lEFlRtc2VXqd8Q-90jo4o8UdxN0dLfrGpJ3RDrprDypaNJRO5n2pSDMsXz03KCOP6QIpxtng/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA AJIBU MAPIGO KWA STEVE NYERERE
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Baby Madaha Kuikacha Bongo Fleva kwa Muda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Baby Madaha ameamua kwasasa kijikita kwenye uigizaji zaidi kusimama kwa muda kufanya muziki kutokana na changamoto nyingi ambazo zinahitaji uvumilivu.
Baby Madaha alieleza kuwa moja ya changamoto za muziki, na hasa unapokuwa chini ya "manejimenti' ya kampuni ni kukosa uhuru wa maamuzi
Nipashe
9 years ago
Bongo521 Nov
Mwasiti awataka wasanii kuacha kufuata mkumbo kufanya video nje
![12093648_1677922595778221_1833644946_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12093648_1677922595778221_1833644946_n-300x194.jpg)
Mwasiti Almas amewataka wasanii kuacha kufuata mkumbo wa kwenda kufanya video nje wakati bado hawajajipanga jinsi ya kufanya mwendelezo.
Akizungumza na Bongo5 leo, Mwasiti amesema wasanii wanatakiwa kujiangalia mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi hayo.
“Kwanza kabisa tusifuate mkumbo, tusifuate mkumbo kwa sababu fulani na fulani wamefanya video Afrika Kusini na wewe au wote tukafanye video Afrika Kusini,” amesema.
“Kwanza lazima ujiangalie kama kweli huo ni wakati wako. Hata mimi...
10 years ago
GPLBELLA, BABY MADAHA WATINGA GLOBAL TV ONLINE, WAELEZEA WALIVYOJIPANGA KWA SHOO YAO YA BOXING DAY DAR LIVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I7ZlFg1qyxYmxm997bDtMCrfjr**5A8IjAerXx*xDFx9X7avQ-yCqomGic-nbEYiblsZ3UEwMyLKhkKCTnAzrV/MADAHA.jpg?width=650)
BABY MADAHA