Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuhama vyama isiwe kufuata mkumbo

MIAKA 20 iliyopita, Tanzania ilishuhudia idadi kubwa ya wanasiasa na mashabiki wengine kadhaa wa siasa wakirejesha kwa mbwembwe kadi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku wengine wakizichoma moto hadharani.

Hilyo ilikuwa ni baada ya mmoja kati ya mawaziri wa CCM waliowahi kutamba na kukubalika sana nchini, Augustine Mrema, kuondoka chama hicho na kujiunga na NCCR – Mageuzi na mara moja akapewa uenyekiti na nafasi ya kugombea urais.

Mamia kwa maelfu ya mashabiki wake wakafuatana naye...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUFUATA MKUMBO KUNAVYOATHIRI UFAULU

NASHUKURU kwa mrejesho unaonesha kwamba wanafunzi wengi wananufaika na mada mbalimbali zinazotolewa katika kona hii, nawasihi tuendelee kujifunza kila siku ili kufikia malengo yetu katika masomo. Leo tunaangalia athari ambazo mwanafunzi anaweza kuzipata kwa kufuata mkumbo; bila shaka naamini kila mtu anafahamu maana ya kufuata mkumbo, kwa wasiyojua ni kufanya vitu vifanywavyo na wengi. Kuna baadhi ya wasomi ambao wameshindwa...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: SIOLEWI KWA KUFUATA MKUMBO

Stori: Rhoda Josiah STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amesema anaishi katika staili ya kivyake hivyo kamwe hawezi kuolewa kwa kufuata mkumbo kama ilivyo kwa wasanii wengine. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ Akipiga stori na mwandishi wetu, Baby Madaha alikiri kuwa ana mchumba ambaye ni Joh Kairuki, anampenda sana ila katika suala la kufunga...

 

9 years ago

Bongo5

Mwasiti awataka wasanii kuacha kufuata mkumbo kufanya video nje

12093648_1677922595778221_1833644946_n

Mwasiti Almas amewataka wasanii kuacha kufuata mkumbo wa kwenda kufanya video nje wakati bado hawajajipanga jinsi ya kufanya mwendelezo.

12093648_1677922595778221_1833644946_n

Akizungumza na Bongo5 leo, Mwasiti amesema wasanii wanatakiwa kujiangalia mara mbili mbili kabla ya kufanya maamuzi hayo.

“Kwanza kabisa tusifuate mkumbo, tusifuate mkumbo kwa sababu fulani na fulani wamefanya video Afrika Kusini na wewe au wote tukafanye video Afrika Kusini,” amesema.

“Kwanza lazima ujiangalie kama kweli huo ni wakati wako. Hata mimi...

 

10 years ago

Raia Mwema

Sanaa ya kuhama vyama na mustakabali wa demokrasia

SANAA ya kuhama vyama vya kisiasa (the art of defection from one political party to another) imea

Yahya Msangi

 

9 years ago

Mwananchi

Wanaokula ‘bata’, kuangukia pua kwa kuhama vyama

Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 umeacha majeraha na simanzi kwa baadhi ya wagombea ubunge waliojikuta wakishindwa licha ya kujizolea umaarufu ndani ya vyama vyao na Bunge la 10 lililomaliza muda wake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Mutungi avitaka vyama kufuata sheria

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis  Mutungi imevitaka vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ndogo unaoendelea  hivi sasa katika jimbo la Kalenga na ule wa Chalinze kuzingatia kanuni...

 

9 years ago

StarTV

NEC yawataka viongozi wa vyama kufuata kanuni za uchaguzi

 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NCHINI (NEC), Jaji Damian Lubuva amekemea na kupiga marufuku viongozi wa vyama vya siasa wanaozidisha muda wa kufanya kampeni ndani ya nyumba za Ibada kwa madai kuwa kwa kufanya hivyo wanakiuka kanuni za uchaguzi wa nchi.

 

Jaji Lubuva ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es salaam, na kuonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya viongozi wa kisiasa watakaokaidi sheria hizo za uchaguzi.

Katika Mkutano wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Werema: Ni uamuzi wa mkumbo

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amelalamikia uamuzi wa Bunge unaopendekeza yeye na baadhi ya vigogo wachukuliwe hatua, akidai kuwa haukuwa wa haki kwa wote waliotuhumiwa na ulifanywa kwa hasira na kufuata mkumbo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani