Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Bado tuna fursa ya kujadili, kupata Katiba tuliyokusudia’

Ukiwa umebakia muda wa miezi miwili kabla ya Bunge la Katiba kurejea, baadhi ya wananchi wameendelea kutoa maoni yao kuhusu nini kifanyike ili iweze kupatikana katiba bora ya wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

ALAT kupata fursa Katiba Mpya

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amewasilisha katika Bunge Maalumu, mapendekezo ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) ya kuongezwa kwa sura mpya katika mchakato wa Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Tusipotumia fursa hii kupata katiba tutajuta

Vikao vya Bunge la Katiba vinatarajiwa kuanza tena Agosti mwaka huu baada ya kusimama kwa muda kupisha Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma.

 

11 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya

009

Jumuiya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Imeandaa Kongamano la kujadili mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kongamano hilo litafanyika tarehe 27 Julai 2014 siku ya Jumapili kuanzia saa 8 mchana ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star TV

Mada kuu ya kongamano hilo ni, “Tujadili na Kutafakari Mchakato wa Katiba Mpya kwa Manufaa ya Taifa Letu”.

Watoa Mada katika...

 

11 years ago

GPL

TUNA MUDA WA KUTOSHA KUJADILI MAISHA?

NI  matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya njema na mnaendelea vizuri na mihangaiko ya kila siku ya maisha. Ni wakati mwingine tena tunakutana kujadili mambo yetu ya mapenzi na maisha. Leo nina jambo moja la msingi ambalo ningependa kujadili kwa pamoja, wakati huu tunapokaribia kumaliza mwaka na kuukaribisha mwingine. Najua wazazi wengi hiki ni kipindi cha maumivu kwa vile tutalazimika kutumia fedha kwa ajili ya kuandaa...

 

9 years ago

Mwananchi

Tusiwape wengine fursa ya kujadili uhuru wetu

Nchi nyingi za bara la Afrika, ikiwamo Tanzania, zina kasumba ya kuomba au kupewa misaada kutoka mataifa yaliyoendelea kama Marekani, Uingereza, China na mengineyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dunia ilivyokosa fursa ya kupata chanjo ya ugonjwa wa Covid-19

Mwaka 2002, mji wa China wa Guangzhou, kirusi kisichojulikana kilisababishwa mlipuko wa ugonjwa mbaya ambao wanasayansi waliupatia jina la SARS linalomaanisha ugonjwa wa matatizo ya kupumua.

 

9 years ago

Michuzi

Mwinyi awaasa wanafunzi kuchangamkia fursa ya kupata taaluma Chuo Kikuu cha Kampala

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kampala International cha jijini Dar es Salaam,Rais Mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hasani Mwinyi amewataka watanzania kuchangamkia fursa za masomo ya taaluma mbalimbali nanayotolewa na Chuo Kikuu cha Kampala kilichopo eneo la Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati wa mahafali ya tatu ya chuo hicho kwa upande wa Tanzania jana ambapo wahitimu walitunikiwa shahada ,stashahada na vyeti vya kufuzu fani mbalimbali alisema chuo hicho kinatoa elimu bora ...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WATAKIWA KUACHA UOGA NA BADALA YAKE WAPAMBANE KUPATA FURSA ZA KIELIMU, KISIASA NA KIUCHUMI


Charles James, Michuzi TV

WANAWAKE nchini wametakiwa kuacha uoga katika mapambano ya kutafuta fursa za kielimu, uchumi au kisiasa na badala yake wajikite katika kupigania haki yao hasa ya usawa wa jinsia.

Pia wametakiwa kufahamu kwamba hakuna mtu mwingine ambaye atakuja kupigania haki ya mwanamke zaidi ya wanawake wenyewe na wasipofanya hivyo nafasi za kiuongozi watabaki kuzisikia tu.

Hayo yamesemwa na Spika Mstaafu wa Bunge, Mama Anne Makinda jijini Dodoma wakati akizindua kongamano la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tahliso kujadili rasimu ya Katiba

JUMUIYA ya Wanafunzi wa Vyuo vya Juu nchini (Tahliso) inatarajia kufanya mkutano mwishoni mwa Aprili jijini Dar es Salaam kujadili mambo mbalimbali ikiwemo masuala yahusuyo rasimu ya pili ya Katiba....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani