Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bagamoyo wanywa maji ya malambo

WAKAZI wa Kijiji cha Dihozile, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wanatembea kwa saa mbili kufuata huduma ya maji ya malambo. Wakizungumza na Tanzania Daima hivi karibuni, walisema tangu kijiji hicho...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

DAR ES SALAAM, BAGAMOYO KUKOSA HUDUMA YA MAJI KESHO

Shirika la Maji Safi na Majitaka Dar-es-salaam (DAWASCO), linasikitika kuwatangazia  wakazi wa jiji la Dar-es-salaam na  Mji wa Bagamoyo kuwa Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini utazimwa kwa wastani wa Saa 24 siku ya Jumapili, Tarehe 13/12/2015.
Mtambo wa Ruvu Chini utazimwa kutokana na matengenezo na Maboresho ya Njia kubwa ya Maji inayohudumia eneo la Salasala na viunga vyake vyote.
Kuzimwa kwa mtambo wa Ruvu Chini kutasababisha maeneo yafuatayo katika Jiji la Dar es salaam kukosa...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)

Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]

The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

GPL

WANYWA DAWA YA MGANGA WA KIENYEJI, WAUGUA

Bibi Zaina Athumani. Stori: Makongoro Oging’
HII nayo ni kali na haijawahi kutokea. Wakazi wawili wa Vingunguti kwa Simba Mbili jijini Dar akiwemo mwenye nyumba wamekimbizwa hospitalini na polisi baada ya kunyweshwa dawa na mganga wa kienyeji waliyemleta ili azindike nyumba yao. Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita Vingunguti nyumbani kwa Zaina Athumani,70, ambaye ndiye mwenye nyumba aliyeleta mganga huyo ili azindike...

 

10 years ago

Mwananchi

Fuso lapinduka, vijana wanywa bia za bure

Dar es Salaam. Baadhi ya watu jana ‘waligida’ pombe za bure baada ya Fuso lililokuwa limebeba masanduku ya bia kupinduka katika Barabara ya Mandela, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wanywa pombe kali hatarini kupata upofu’

>Unywaji pombe kali kupita kiasi, umetajwa kuwa chanzo cha upofu, huku uhaba wa madaktari wanaotibu ugonjwa huo, vifaa tiba vikielezwa kuwa kikwazo.

 

10 years ago

Michuzi

DAWASCO yawaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar na mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya maji

DAWASCO inaomba radhi wakazi wote wa jiji la Dar es salaam na Mji wa Bagamoyo kwa kukosekana kwa huduma ya Maji kutoka katika mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Chini kwa wastani wa saa 72 kwa siku za Ijumaa hadi Jumatatu ya tarehe 28, 29  na 30 November 2014. 
Kukosekana kwa huduma hii kulitokana na kazi ya mkandarasi (Sino-hydro Corporation ltd) kuunganisha bomba la zamani na bomba jipya (cross-connection) katika mtambo wa Ruvu Chini eneo la Mpiji, Bagamoyo na eneo la Chuo Kikuu Ardhi...

 

11 years ago

GPL

WANYWA SODA WANA HATARI KUBWA YA KUPATWA SARATANI!

INAKADIRIWA kiasi cha watu milioni 1.6 watapatwa na ugonjwa wa saratani mwaka huu nchini Marekani na inakadiriwa kuwa kati ya hao, watu laki 5 watapoteza maisha kutokana na ugonjwa huo hatari. Pia kiasi cha watu laki 6 hufariki kwa ugonjwa wa moyo nchini humo kila mwaka. Licha ya maendeleo ya kisayansi yaliyopatikana kwa nusu karne iliyopita, lakini makampuni ya kimagharibi yanayotengeneza dawa za binadamu, yameshindwa kuvumbua...

 

10 years ago

Vijimambo

MAZISHI MKE WA BILIONEA MIL. 200, WAOMBOLEZAJI WALA, WANYWA, WASAZA

Baadhi ya wananchi wakishuhudia ajali iliyosababisha kifo cha Carista Charles Makoi.Kwa mujibu wa chanzo makini ndani ya kamati hiyo, siku ya kwanza tu baada ya kifo hicho, saa tatu mbele zilichangwa zaidi ya shilingi milioni 75 na baada ya hapo ziliendelea kuchangwa hadi kufikia lengo.Chanzo kilisema kuwa, wachangaji wakubwa walikuwa wafanyabiashara wakubwa kutoka mikoa ya kaskazini mwa Tanzania, ikiwemo Arusha, Kilimanjaro na Tanga.“Wengi waliowahi kuchanga ni wafanyabiashara wa mikoa hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

DC BAGAMOYO AHIDI KUMALIZA KERO NA MALALAMIKO YA WAFANYABIASHARA WANAOTUMIA BANDARI YA BAGAMOYO

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Zainab Kawawa amewasihi wafanyabiashara kutumia bandari ya Bagamoyo kuingiza bidhaa zao na kusafirisha bidhaa zinazotoka nje ya Bagamoyo.

Mhe. Zainab ameyasema hayo alipofanya mkutano maalum na wafanyabiashara wa Bagamoyo wanaotumia bandari ndogo ya Bagamoyo baada ya wafanya biashara hao kuacha kutumia bandari hiyo wakidai huduma zisizoridhisha toka kwa uongozi wa mamlaka ya bandari ya Bagamoyo.

Akizungumza kwa niaba ya Wafanyabiashara wanaotumia bandari ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani