Bahrain yavunja uhusiano na Iran
Bahrain imetangaza kwamba imevunja uhusiao wa kibalozi na Iran, saa chache baada ya Saudi Arabia kuchukua hatua sawa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Marekani kuimarisha uhusiano na Iran
Marekani imeitaka Iran kuchukua maamuzi sahihi kuhusu mpamngo wa nyuklia ili kuimarisha uhusiano kati yao
9 years ago
BBCSwahili01 Dec
Iran yakana uhusiano na magaidi
Serikali ya Iran imekana kuwa na uhusiano wowote na wanaume wawili waliokamatwa wakikisiwa kupanga mashambulizi nchini kenya
9 years ago
BBCSwahili23 Aug
Iran yasifu uhusiano na Uingereza kurudi
Baada ya Iran na Uingereza kufungua balozi zao tena, Iran yasema maingiliano sasa ni ya kuheshimiana
11 years ago
BBCSwahili15 Feb
Polisi auawa katika maandamano Bahrain
Wizara ya maswala ya ndani nchini Bahrain imesema kuwa polisi mmoja aliyejeruhiwa katika mlipuko siku ya ijumaa ameaga dunia.
10 years ago
BBCSwahili06 Dec
Uingereza kuweka jeshi lake Bahrain
Uingereza imesaini makubaliano na Bahrain ya kujenga kituo cha jeshi la wanamaji nchini humo.
9 years ago
Bongo510 Sep
Video: Dj D-Ommy akiongelea show ya Bahrain na Afrika Kusini
DJ D-Ommy wa Clouds FM alikuwa Dj mwalikwa kwenye tamasha kubwa la nchini Bahrain linalofanyika kila mwaka la Afro Caribbean Beach Party hivi karibuni. Kabla ya hapo alialikwa pia kutumbuiza kwenye pre-party ya NBA Allstars Game jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Amepita kwenye studio zetu kutuambia alichikifanya. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, […]
11 years ago
Tanzania Daima05 Feb
Kamati yavunja nyumba
KAMATI inayosimamia migogoro ya ardhi na viwanja katika eneo la Kange Kasera jijini Tanga imevunja nyumba mbili zilizojengwa kinyume cha utaratibu na wavamizi waliovamia bila ya kufuata utaratibu. Zoezi hilo...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Yanga yavunja mwiko
Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga wameituliza Al Ahly ya Misri baada ya kuichapa bao 1-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania