Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajaji zenye misemo Tanzania

Pikipiki za matairi matatu ama maarufu kwa jina la bajaji nchini Tanzania, zimekuwa ndio usafiri mkubwa mbadala wa umma katika jiji la Dar es Salaam. Kwa upande mwingine, pikipiki hizi zimekuwa njia mbadala ya kusambaza ujumbe mbalimbali kwa watu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Misemo ya bajaji Tanzania

Pikipiki za matairi matatu ama maarufu kwa jina la bajaji nchini Tanzania, zimekuwa ndio usafiri mkubwa mbadala wa umma katika jiji la Dar es Salaam. Kwa upande mwingine, pikipiki hizi zimekuwa njia mbadala ya kusambaza ujumbe mbalimbali kwa watu.

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.

Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi  kutoka nchi mbalimbali Duniani.

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...

 

9 years ago

Mwananchi

Mingange aja na misemo Mbeya City

Baada ya kuendelea kupata matokeo yasiyoridhisha huku mashabiki wakija juu, kocha wa Mbeya City, Meja mstaafu, Abdul Mingange amewataka mashabiki kutulia kwani hata Roma haikujengwa kwa siku moja.

 

10 years ago

Habarileo

Misemo ya Kikwete yatia fora bungeni

MISEMO na mifano aliyotoa Rais Jakaya Kikwete wakati anahutubia Bunge jana ilikuwa kivutio kikubwa kwa wabunge hao.

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania yazionya nchi zenye nyuklia

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi TANZANIA imetaka ihakikishiwe usalama kutoka kwa nchi zenye silaha za nyuklia, huku ikizihimiza nchi hizo kuacha kutoa vitisho kwa nchi nyingine.

 

10 years ago

StarTV

Tanzania kuingia nchi zenye uchumi wa kati.

Na Grace Semfuko,

Dar Es Salaam,

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Mohammed Gharib Bilal amesema Tanzania inakusudia kuingia katika jumuiya ya nchi zenye uchumi wa kati huku ikiwa na vijana wenye uwezo wa kushindana kwenye soko la ajira barani Afrika.

 

Alisema ili kufikia hayo, mashirika binafsi yanatakiwa kuanza kutoa elimu kwa vijana ambao ndio taifa la sasa, kujiandaa katika kukabiliana na changamoto hiyo.

 

Katika uzinduzi wa mkakati wa utekelezaji wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dereva bajaji wanaotoa mafunzo ya Corona nchini Tanzania

Janga la Corona limesababisha mashirika mengi kuja na njia za ubunifu kufikisha ujumbe wa kulijinda na Corona kwa wananchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Obi kuwekeza kwenye soko la smartphone zenye gharama nafuu Tanzania

DSC_0248

Mkurugenzi Mtendaji wa Obi Mobiles, Afrika Mashariki na Kati na Afrika, Amit Rupchandani (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari )hawapo pichani) jijini Dar leo wakati wa utambulisho wa simu za aina ya smartphone zinazotengenezwa na Obi. Kushoto ni Mkurugenzi wa DESPEC Afrika, Farouk Jivani ambao ndio wasambazaji wakuu wa bidhaa hizo Tanzania na Afrika Mashariki na Kulia Mkuu wa kitengo cha masoko na mawasiliano wa Obi, Yusuf Khan.(Picha na Zainul Mzige).

Na Andrew...

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya DTB Tanzania yauza hisa zenye thamani ya Shilingi Bilioni 30!

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Diamond Trust (DTB), Viju Cherian (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Hoteli ya Serena Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu benki hiyo kuuza hisa zenye thamani ya sh. bilioni 30 na kusherehekea miaka 70 ya uwepo wake tangu ianzishwe hapa nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi.  Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa benki hiyo, Joseph Mabusi (kulia), akizungumzia mafanikio mbalimbali  na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani