Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti za Maji, Nishati zaivuruga Serikali

Wakati Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika akisema atamwandikia barua Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe akimtaka kutowasilisha bajeti yake leo, akidai ina kasoro nyingi, Serikali imenyoosha mikono na kuamua kuisogeza mbele kwa hofu ya kukwamishwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bunge laridhishwa na utendaji wa serikali, lapitisha taarifa za za Kamati ya Bajeti, Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC), Miundombinu na Nishati na Madini.

 Na Hussein Makame, MAELEZO, DodomaKAMATI za Bunge za Serikali za Mitaa (LAAC) na ile ya Hesabu za Serikali (PAC), zimeridhishwa na mafanikio na hatua zilizochukuliwa na Serikali kwa kuongeza mapato yake na kushughulikia changamoto zinazoikabili katika kutekelza majukumu yake.

Kufuatia hali hiyo, Bunge limepitisha taarifa za kamati hizo na nyingine tatu, huku Serikali ikiahidi kufanyia kazi yale yote yaliyopendekezwa kwenye taarifa hizo ili kulipeleka Taifa kule kunakotakiwa.

Taarifa za Kamati...

 

11 years ago

Mwananchi

Tuhuma nzito Bajeti Nishati na Madini

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Mbunge wa Musoma Vijijini, Nimrod Mkono wameingia katika mvutano baada ya ujumbe wa maandishi wa kutaka kukwamisha bajeti ya wizara hiyo kusambazwa kwa wabunge.

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kushoto akiwa amempa mkono Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akimpongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katikati akiwa akiwa ameshikana mikono  na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw.Eliakim Maswi na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akiwapongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na...

 

11 years ago

Michuzi

Kambi ya Upinnzani yasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Wapinzani wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakiongozwa na kiongozi wa Upinzani  Bungeni Mhe.Freeman Mbowe wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rasilimali maji, nishati muhimu kuthaminiwa

MWAKA 1992 Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ulipitisha Azimio namba 47 kuwa Machi 22 ya kila mwaka, nchi wanachama waadhimishe Siku ya Maji Duniani. Hii inatokana na maji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilombero kuongezewa bajeti ya maji

SERIKALI inakusudia kuongeza sh bilioni 3.2 kwenye bajeti ya maji wilayani Kilombero  ili kuboresha huduma hiyo mjini Ifakara. Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Azimana Mbilinyi, alieleza hayo hivi karibuni kwenye baraza...

 

11 years ago

Mwananchi

Bonasi, posho zaivuruga Afrika

Ushiriki wa Afrika kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea Brazil mwaka huu umekuwa wenye sura tofauti.

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI, YAZINDUA MWONGOZO WA UTENDAJI KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI

Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Injinia Mbogo Mfutakamba (katikati) wakati wa akizindua chapisho la Kanuni na utaratibu wa kuzingatia kwa Mamlaka zinazohusika na usimamizi na usambazaji wa maji nchini wakati wa mkutano wa mwaka wa wataalaam na watendaji wa usimamizi wa sekta ya maji nchini. Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Injinia Mbogo Mfutakamba (katikati) akiwaonesha wataalam na watendaji wa usimamizi wa sekta ya maji nchini chapisho la Kanuni na utaratibu wa kuzingatia kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani