Bonasi, posho zaivuruga Afrika
Ushiriki wa Afrika kwenye fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea Brazil mwaka huu umekuwa wenye sura tofauti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 May
Bajeti za Maji, Nishati zaivuruga Serikali
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0bAtw3FcCmE/XvXr6A6gh2I/AAAAAAALvi4/kESuXrYI7jgyNSPXK5a-nM8lpSgpDbdbQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B3.27.49%2BPM.jpeg)
Pazia la Bundesliga linafungwa rasmi-Aufiderzen, bonasi kubwa!
![](https://1.bp.blogspot.com/-0bAtw3FcCmE/XvXr6A6gh2I/AAAAAAALvi4/kESuXrYI7jgyNSPXK5a-nM8lpSgpDbdbQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-26%2Bat%2B3.27.49%2BPM.jpeg)
Bundesliga maalum ikiwa na machaguo zaidi ya 7000.
WIKIENDI hii pazia la msimu wa 56 wa German Bundesliga linahitimishwa leo. Mechi 9 zitachezeka kukamilisha mzunguko wa 34 kwenye Ligi. Meridianbet ina ofa maalum ya machaguo zaidi ya 7000 yakiwa na nafasi ya kushinda bonasi kubwa kutokana na idadi ya mechi ulizobashiri, hadi 1000%!
Japo bingwa amekwisha kujulikana, lakini bado kwenye Ligi kuna walakini. Wikiendi iliyopita kwenye Car Derby, Borussia Dortmund aliibuka na ushindi kutoka kwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RqbQKMlY6Xg/XpcLOXlzw4I/AAAAAAALnDk/TXOXACETU0o_qaJfrWZ6M_dkRGrTQnnLACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-15%2Bat%2B4.19.52%2BPM.jpeg)
JISAJILI NA UPATE BONASI YA 5% KWA KILA MUAMALA UNAOWEKA
![](https://1.bp.blogspot.com/-RqbQKMlY6Xg/XpcLOXlzw4I/AAAAAAALnDk/TXOXACETU0o_qaJfrWZ6M_dkRGrTQnnLACLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-15%2Bat%2B4.19.52%2BPM.jpeg)
FURAHIA, SHINDA PESA- Jiunge na Meridianbet na ucheze Simulated Reality League Nini maana ya Simulated Reality League na unabashiri vipi?
Ligi halisi za kuchezeshwa ni mchezo usio halisi wa mpira, ambao una tofauti kubwa ambayo imekuja kua mbadala katika mchezo wa soka. Michezo hii ya ligi za kuchezeshwa inatumia akili ya kawaida na mashine zinazotambua uwezo wa kuchambua matokeo ya kila mechi inayochezwa inayo mchezo wa mpira wa kawiada.
Hii imetengenezea michezo ya kubashiri hali na hamasa...
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Msitu wa posho
11 years ago
Habarileo28 Mar
Wabunge wajutia posho
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanajutia posho wanayoendelea kupata wakati bunge likivurugika mara kwa mara na kusababisha kuahirishwa, hivyo kuzua wasiwasi wa kutotekelezwa malengo yaliyowapeleka. Makundi yenye uwakilishi ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, katika kujiengua na shutuma yamenyooshea wanasiasa vidole na kusema wanavuruga mwenendo wa Bunge hilo kwa maslahi ya vyama vyao.
11 years ago
Tanzania Daima03 Mar
Posho juu bungeni
WAKATI Ikulu ikitangaza kuwa posho kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba haijaongezeka, Tanzania Daima imebaini kuwa imeongezeka kwa sh 140,000 kwa siku za Jumamosi na Jumapili tofauti na ilivyokuwa...
11 years ago
Habarileo21 Feb
Posho yagawa wabunge
WAKATI Bunge Maalumu la Katiba likiunda kamati maalumu ya kufuatilia suala la nyongeza ya posho za wajumbe, umetokea mgawanyiko miongoni mwa wabunge hao. Kamati iliyoundwa itafuatilia na kisha kuishauri Serikali iwaongeze posho wajumbe hao huku baadhi yao, wakipinga na kutaka wananchi wasimame kidete kuipinga.