Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bakhresa achunguzwa

KAMPUNI ya Said Salim Bakhresa (SSB) inachunguzwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kushiriki kukwepa kodi na hivyo kuikosesha serikali mabilioni ya fedha kutokana na makontena yaliyohifadhiwa kwenye bandari yake ya nchi kavu (ICD) ‘kupotea’ bila kulipiwa kodi. Tayari Mamlaka ya Mapato (TRA) imepiga marufuku SSB kuingiza makontena katika bandari hiyo kavu ambako ndiko kunadaiwa kufanyika kwa vitendo hivyo vya ukwepaji wa kodi kutokana na baadhi ya makontena kupotea katika mazingira ya...

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

TheCitizen

Missing containers not ours-Bakhresa

Said Salim Bakhresa and Company yesterday refuted claims that it owned 329 containers whose records went missing from the Tanzania Revenue Authority (TRA), causing the suspension of the authority’s top boss and several others.

 

10 years ago

GPL

BAKHRESA ATUMIKA KUTAPELI...

Na Makongoro Oging’/Uwazi
MFANYABIASHARA tajiri Afrika Mashariki na Kati, Said Salum Bakhresa (pichani), jina lake limetumika katika utapeli jijini Dar baada ya watu waliodai ni wafanyakazi wake kumrubuni mkazi wa Kariakoo, Mussa Mohammed kuvunja fremu yenye duka lake ili kupisha ujenzi wa maegesho ya magari, Uwazi limedokezwa. Mfanyabiashara tajiri Afrika Mashariki na Kati, Said Salum Bakhresa. Akizungumza na gazeti...

 

11 years ago

Mwananchi

Bakhresa inavyochangia uchumi nchini

Unapozungumzia uchumi na uwekezaji katika Tanzania huwezi kuiweka kando Bakhresa Group of Companies, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara mzalendo Said Salim Bhakresa.

 

10 years ago

Vijimambo

Bakhresa, Mo Dewji ni zaidi ya dhahabu




TANZANIA inaingiza fedha nyingi za kigeni kupitia wafanyabiashara wawili; Said Bakhresa na Mohamed Dewji kuliko fedha inazoingiza kupitia mauzo ya dhahabu nje ya nchi, imefahamika.Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, alisema jijini Dar es Salaam juzi Jumatatu kwamba kiasi cha fedha za kigeni zinazoingizwa na madini ya dhahabu kimeshuka kwa mwaka uliopita.Katika mada yake iliyoitwa The Importance of Economic Transformation (Umuhimu wa Mabadiliko ya Kiuchumi), Profesa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hollande achunguzwa na NSA ?

Mtandao wa Wikileaks unadai kuwa chombo cha upelelezi cha Marekani NSA kimemchunguza rais Francois Hollande,

 

11 years ago

BBCSwahili

Moyes achunguzwa na polisi

Aliyekuwa kocha wa Manchester United David Moyes anachunguzwa na polisi kusu madai alimpiga mteja kwenye baa

 

9 years ago

Mtanzania

Rungu la Magufuli latua kwa Bakhresa

Screen Shot 2015-07-16 at 8.18.52 PM*TRA yazuia makontena yake bandari kavu

*Polisi yasema uchunguzi mzito unaendelea

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezuia kampuni ya Said Salim Bakhresa & Co. Limited kupeleka makontena yake katika Bandari yake Kavu (ICD), baada ya kugundulika kuwa baadhi ya makontena yalipitishwa bila kulipiwa kodi.

Kwa mujibu wa barua ya TRA ya Novemba 17, mwaka huu,  iliyosainiwa na Wolfagang Salia kwa niaba ya Kamishina wa Forodha na Ushuru wa Bidhaa, kampuni hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinyozi anayeota kuwa kama Bakhresa

Mafanikio: Kupitia kazi hii ambayo nimeianza miaka kadhaa iliyopita ninaweza kuendesha familia yangu yenye mtoto mmoja na kukidhi mahitaji yote pamoja na ya ndugu zangu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke mbaguzi achunguzwa Australia

Polisi nchini Australia wanamchunguza mwanamke anayedaiwa kuwatusi abiria wenzake matusi ya kibaguzi mjini Sydney.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani