Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balotelli ndiye mchezaji anayeongoza kwa kubaguliwa Ligi Kuu ya Uingereza.

Takwimu zimeripotiwa hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya hizo zikiwa ni za kibaguzi.
Kick it Out wameripoti takwimu hizo za kushtua, ambao walibaini kwamba raia huyo wa Itali (Mario Balotelli) alilengwa sana katika mitandao ya Twitter huku mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck akipokea ujumbe 1700 asilimia hamsini kati ya hizo zikiwa za...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BALOTELLI NDIYE MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA KUBAGULIWA EPL

Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli. Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck.
Takwimu zimeripotiwa  hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya…

 

9 years ago

Michuzi

Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.

Mshambuliaji wa timu ya Simba, Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.Kwa kuibuka mchezaji bora, Kiiza atazawadiwa sh. milioni moja kutoka kwa mdhamini wa Ligi hiyo, kampuni ya Vodacom.Kiiza ambaye ameisadia Simba kufanya vizuri kwenye mwezi huo, ikiwemo kufunga mabao matatu (hat trick) kwenye mechi dhidi ya Kagera Sugar aliwashinda washambuliaji wa timu za Stand United, Elias Maguli,  na Yanga, Amisi Tambwe.Ndani ya mwezi Septemba ambapo zilichezwa raundi...

 

9 years ago

Bongo5

Thierry Henry amtaja Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote katika ligi kuu England

Mchezaji soka na gwiji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry amewafanya watu kubaki na mshangao kwa kumtaja kiungo wa zamani wa England na Manchester United, Paul Scholes kuwa ndiye mchezaji bora aliyewahi kukutana naye katika historia ya Premier League. Henry alijibu swali hilo katika interview moja na Sky Sport, […]

 

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

10 years ago

Michuzi

Godfrey Wambura mchezaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom kwa mwezi wa pili

Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom ,Fatuma Abdallah akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union,Godfrey Wambura baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka huu,kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF,Khalid Abdallah na kushoto Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union,Salim Bawaziri jana,Picha kwa hisani ya Coastal Union.

 

9 years ago

MillardAyo

Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Chrismass kwa michezo 16 Dec 26 na 27 …

Ikiwa bado watu wapo katika shamrashamra za sikukuu ya Chrismass, sio vibaya nikukupa taari za wapi ukafungulie zawadi zako za Chrismass siku ya Jumamosi ya December 26 Boxing Day au hata Jumapili ya December 26. Najua weekend itakuwa ndefu sana mtu wangu ila sio tatizo, naomba nikusogezee ratiba ya mechi kali za soka za Ligi […]

The post Ligi Kuu Tanzania na Uingereza watafungua zawadi za Chrismass kwa michezo 16 Dec 26 na 27 … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Wachezaji 10 wanaoongoza kwa kutoa pasi za magoli Ligi Kuu Uingereza msimu huu …

Kwa sasa Mesut Ozil hadi anaondoka ndani ya klabu ya Real Madrid ya Hispania na kujiunga na Arsenal ya Uingereza ndio alikuwa mchezaji anayeongoza kumpa pasi za mwisho Cristiano Ronaldo na kufunga magoli. Achana na rekodi ya sasa ya Mesut Ozil ya kuwa mchezaji anayeongoza kutoa pasi nyingi za magoli kwa muda mchache. Nimekutana na […]

The post Wachezaji 10 wanaoongoza kwa kutoa pasi za magoli Ligi Kuu Uingereza msimu huu … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

RIPOTI ZA MOJA KWA MOJA ZA MECHI ZA LIGI KUU YA UINGEREZA

Idhaa yako ya bbcswahili inakuletea ripoti za moja kwa moja za mechi za ligi kuu ya Uingereza Wkiendi hii

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani