BALOTELLI NDIYE MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA KUBAGULIWA EPL
![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEi2aQmAM1Kw-Yhz8-bfCN0MjnyWwf4q2Kvt9Kn15GkwgrdeB72RAKPLBsndT-Sf2G1jva3FCMxjXaIFQV6VO7Vr/238550balotelli45.jpg?width=600)
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli. Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck. Takwimu zimeripotiwa hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM20 Apr
Balotelli ndiye mchezaji anayeongoza kwa kubaguliwa Ligi Kuu ya Uingereza.
Kick it Out wameripoti takwimu hizo za kushtua, ambao walibaini kwamba raia huyo wa Itali (Mario Balotelli) alilengwa sana katika mitandao ya Twitter huku mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck akipokea ujumbe 1700 asilimia hamsini kati ya hizo zikiwa za...
10 years ago
BBCSwahili18 Apr
Balotelli ndiye aliyebaguliwa zaidi EPL
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Suarez ndiye mchezaji bora katika EPL
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Mchezaji wa EPL anaswa kwa wizi London
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s72-c/kiiza.png)
Hamisi Kiiza ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Septemba.
![](http://4.bp.blogspot.com/-HHfNycl_Mvs/VicGKpWPCbI/AAAAAAAIBbQ/fZzeTeujkMY/s640/kiiza.png)
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Ronaldo Ajigamba ndiye mchezaji bora
9 years ago
Bongo506 Nov
Mimi ndiye mchezaji bora wa soka duniani — Ronaldo
![cristiano-ronaldo-553153](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/cristiano-ronaldo-553153-300x194.jpg)
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa yeye ndiye mchezaji bora ulimwenguni.
Mchezaji huyo raia wa Ureno, 30, ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia na mfungaji bora wa Real Madrid ameiambia BBC.
“Sihitaji kusema, niko katika historia ya mpira, mimi ni legend. Namba zinasema kila kitu,” alisema.
Ronaldo ambaye alijiunga Real akitokea Manchester United mwaka 2009 kwa kitita cha auni milioni 80 amesema amefikia kiwango kiwango cha kushangaza kwa kipindi cha...
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Katie Hanshaw: msichana anayeongoza kwa utajiri Nollywood