Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balotelli ndiye aliyebaguliwa zaidi EPL

Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza ,huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BALOTELLI NDIYE MCHEZAJI ANAYEONGOZA KWA KUBAGULIWA EPL

Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli. Mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck.
Takwimu zimeripotiwa  hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya…

 

10 years ago

CloudsFM

Balotelli ndiye mchezaji anayeongoza kwa kubaguliwa Ligi Kuu ya Uingereza.

Takwimu zimeripotiwa hivi karibuni na Kick it Out, zinaonesha kuwa Mario Balotelli ndiye mchezaji aliyebaguliwa sana katika ligi ya Uingereza, huku mchezaji huyo akipokea zaidi ya ujumbe 8000, asilimia 50 kati ya hizo zikiwa ni za kibaguzi.
Kick it Out wameripoti takwimu hizo za kushtua, ambao walibaini kwamba raia huyo wa Itali (Mario Balotelli) alilengwa sana katika mitandao ya Twitter huku mshambuliaji wa Arsenal Danny Welbeck akipokea ujumbe 1700 asilimia hamsini kati ya hizo zikiwa za...

 

10 years ago

Bongo5

Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha

Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]

 

11 years ago

BBCSwahili

Suarez ndiye mchezaji bora katika EPL

Mshambulizi wa Liverpool Luis Suarez ni mchezaji bora msimu huu nchini Uingereza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Toure ndiye bora zaidi Afrika

Ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka mahiri Afrika

 

5 years ago

BBCSwahili

Je, Mwanamuziki Burna Boy, ndiye bora zaidi Afrika?

Mwanamuziki Burna Boy amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa nchini Nigeria baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba yeye ndiye mwanamziki bora Zaidi.

 

9 years ago

Bongo5

Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka kwenye TV anayelipwa fedha nyingi zaidi UK

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa, Thiery Henry ndiye mchambuzi wa soka anayelipwa fedha nyingi zaidi nchini Uingereza.

1DA5076200000578-3361435-image-a-63_1450207906418

Sky Sport wanamlipa pauni milioni nne kila mwaka katika mkataba wake wa miaka sita.

Pamoja na kuwa nao, mkataba wake unamruhusu kufanya kazi hiyo na vituo vya runinga vingine.

Tayari imefahamika kuwa BBC Sport wanatarajia kumtangaza kama mchambuzi wao wa European Championship.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

10 years ago

Bongo5

Kristina Pimenova: Mtoto wa miaka 9 ndiye msichana mrembo zaidi duniani (picha)

Jarida la Women Daily lilimtaja Kristina Pimenova, mtoto mwenye miaka 9 kuwa msichana mrembo zaidi duniani. Kristina, kutoka Urusi alianza masuala ya modelling akiwa na miaka minne na tayari ameshafanya kazi na wabinifu wakubwa wa mavazi wakiwemo Roberto Cavalli na Benetton. Tayari ameshaokava pia jarida la Vogue Bambini. Tazama picha zake zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani