Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Iddi ashukuru Marekani kupambana na maafa

MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi ameishukuru Serikali ya Marekani kwa msaada wao katika kuimarisha na kujikinga na maafa mbalimbali pindi yanapotokea Visiwani Zanzibar.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI IDDI AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ofisini kwake vuga Mjini Zanzibar. Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke akibadilisha mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif katika jitihada za kuimarisha ushirikiano kati ya Ujerumani na Zanzibar. Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA ASHUKURU BENKI YA MAENDELEO YA ULAYA KWA MIKOPO NA MISAADA INAYOITOA KWA NCHI ZA AFRIKA, KARIBIANI NA PASIFIKI (ACP)

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akishukuru Benki ya Maendeleo ya Ulaya (EIB) kwa kutoa  mikopo ya gharama nafuu na kusaidia Maendeleo ya nchi za ACP. Balozi Kamala ameitaka Benki hiyo kuongeza kiwango cha mikopo inayotoa katika nchi za ACP kutoka asilimia 10 ya mikopo inayotoa sasa hadi asilimia 20. 
Kamati ya Mabalozi wa nchi za ACP leo imekutana na Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Ulaya, Luxembourg...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF yamkana Balozi Seif Iddi

Chama cha Wananchi CUF kimemkana Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kikieleza kuwa msimamo wake wa kukataa kurudiwa kwa uchaguzi visiwani humo uko palepale.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Balozi Iddi ataka changamoto zijadiliwe

MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, amesema changamoto zilizojitokeza katika ujenzi wa barabara ya Koani hadi Jumbi Wilaya ya Kati ikiwemo uchelewaji wa fedha za kuendesha...

 

10 years ago

Habarileo

Balozi Iddi kugombea uwakilishi Mahonda

MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi akihutubia wanachama wa CCM.SIKU moja tu baada ya Tume ya Uchaguzi (ZEC) kutangaza mipaka ya majimbo mapya ya uchaguzi, baadhi ya viongozi wametangaza nia ya kuwania nafasi za Uwakilishi na Ubunge katika majimbo hayo.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF IDDI ZIARAN NCHINI CHINA

Ujumbe wa Zanzibar uliokuwa nchini China kwa ziara ya Kiserikali ukipata mlo kwenye Tafrija maalum waliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Nchini China.Wa kwanza kutoka kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mh. Said Hassan Said, Meya wa Manispaa ya Zanzibar Mstahiki Khatib Abdulrahman Khatib, Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Mh. Ramadhan Abdulla Shaaban,Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbarouk na Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Mh. Ussi Jecha Simai.Mke wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani