Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Seif afurahishwa na barabara ya Konde

MAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali IddiMAKAMU wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi amesema amefurahishwa na maendeleo ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 30 kutoka Konde hadi Wete ambao unaendelea kwa kasi ya kuridhisha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Balozi Seif Ajumuika na Wanamichezo wa Jimbo la Konde Pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akishiriki kwenye matembezi yaliyotayarishwa na Vikundi vya Mazoezi vya Jimbo la Konde hapa katika Kijiji cha Msuka, Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.kulia ya Balozi Seif ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa na Mkuu wa Mkoa huo Omar Khamis Othman.Baadhi ya wanamichezo wa vikundi vya mazoezi wa Jimbo la Konde na wale waalikwa wa Wilaya ya Wete na Chake chake wakishiriki kwenye matembezi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa Bara bara ya Wete hado Konde,Pemba

Makamau wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akikagua ujenzi wa Bara bara ya Wete hado Konde ambao uko katika hatua ya lami alipokuwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku tatu kuagua shughuli mbali mbali za Maendeleo. Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Kamati ya Msikiti wa Ijumaa wa Micheweni Mjini Mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwakumbusha waumini wa dini ya kiislamu kuendelea na ibada zao wakiepuka fitna za kuchanganya na siasa. Picha na Hassan Issa wa - OMPR - ZNZ.
Harakati za...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA KILOMITA 12

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akitembele Mradi wa Ujenzi wa Bara bara inayoanzia Kiashangwe Mkwajuni hadi Mbuyu Tende Matemwe unaotekelezwa na Kampuni ya Penny Royal inayosimamia mradi mkubwa wa ujenzi wa  Hoteli ya Kimataifa itayopewa jina Zanzibar Amber Resort.
Kulia ya Balozi Seif ni Msimamizi Mkuu wa Mradi wa Zanzibar Amber
Resort kwa upande wa Zanzibar Bibi Naila Jidawi.Balozi Seif akielezea faraja yake mbele ya Uongozi wa Zanzibar Amber Resort kutokana na hatua...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA MAREKANI, AKAGUA UJENZI WA BARABARA WETE, PEMBA

 Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani ambae pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Ms Shimoja Dr. Robert Shumake akimtambulisha Makamu wa Rais wa Kampuni ya maendeleo ya ujenzi ya Detroit Nchini Marekani Bw. Andrew G. McLemore kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi walipokutana kwa mazungumzo VIP ya Uwanja wa ndege wa Pemba. Aliyepo kushoto na Balozi Seif ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani Mh. Suleiman Saleh. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif...

 

9 years ago

Habarileo

Balozi Mahiga afurahishwa na utulivu alioukuta Burundi

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Augustino Maiga ameeleza kuridhishwa na hali ya utulivu aliyoikuta Burundi alipofanya ziara ya siku moja nchini humo hivi karibuni.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AZUNGUMZA NA BALOZI MPYA WA INDIA NCHINI, SANDEEP ARYA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi Mpya wa India aliyepo Nchini Tanzania Bwana Sandeep Arya aliyefika Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar kujitambulisha rasmi.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa India Nchini Tanzania Bwana Sandeep Arya aliyekaa kati kati katika azma ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu wa Kihistoria kati ya pande hizo mbili. Aliyekaa mwanzo kutoka kushoto ni Balozi Mdogo wa India aliyepo hapa Zanzibar Bwana...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Idd Seif akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima alipokwenda kumtembelea Ofisini kwake Zanzibar. Dkt. Mlima alikwenda kujitambulisha na kuwaaga viongozi wa Juu wa Kitaifa Zanzibar, na alikutana na Makamu wa Kwanza Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Seif Shariff Hamad. Dkt. Mlima aliteuliwa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kwenda kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Mdogo wa India Afika Ofisini kwa Balozi Seif Kujitambulisha.

Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar akijitambulisha rasmi kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo Mpya wa India Hapa Zanzibar Bwana Satendar Kumar Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani