Balozi wa Ubelgiji ziarani Kigoma
Balozi wa Ubelgiji nchini , muheshimiwa Koen ADAM atakuwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Kigoma, kuanzia Jumatano tarehe 16 mpaka Ijumaa tarehe 18, Aprili 2014. Balozi ataambatana na Ndg. De Feyter, Mkuu wa kitengo cha Ushirikiano wa Maendeleo ya nchi katika Ubalozi wa Ubelgiji. Wakati wa ziara hii balozi atatumia fursa kukutana na Mkuu wa Mkoa na maafisa wa Wilaya ya (Kigoma na Kasulu), ili kuwafahamisha na kuweza kupata uwelewa mzuri wa hali jamii na uchumi katika mkoa huu, ambao...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBALOZI WA TANZANIA UBELGIJI AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI LIEGE - UBELGIJI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3LyUftqWQTM/U2wfHuzZV1I/AAAAAAAFgag/khC7zAklDas/s72-c/unnamed+(26).jpg)
Balozi kamala akutana na balozi wa ubelgiji nchini tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-3LyUftqWQTM/U2wfHuzZV1I/AAAAAAAFgag/khC7zAklDas/s1600/unnamed+(26).jpg)
9 years ago
Habarileo27 Dec
Majaliwa ziarani Kigoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili mkoani Kigoma kuanzia leo ikiwa ni ziara yake ya kwanza mkoani hapa tangu alipochaguliwa kuwa Waziri Mkuu.
10 years ago
Zitto Kabwe, MB15 Mar
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1J6ozF4V_Jw/VffRpya8u-I/AAAAAAAH468/tapS5OD2Lbs/s72-c/images.jpg)
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ZIARANI MKOA WA KIGOMA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://2.bp.blogspot.com/-1J6ozF4V_Jw/VffRpya8u-I/AAAAAAAH468/tapS5OD2Lbs/s200/images.jpg)
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Serikali ya Awamu ya nne inayomaliza muda wake mwezi Octoba mwaka huu, imeyashughulikia matatizo yaliyokuwepo kwa kiasi kikubwa na yale...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sYs9lZ-4b3c/U8kh_rIVF0I/AAAAAAAF3ZM/CiCJLNEJ2FA/s72-c/unnamed.jpg)
MH. LOWASSA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-sYs9lZ-4b3c/U8kh_rIVF0I/AAAAAAAF3ZM/CiCJLNEJ2FA/s1600/unnamed.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0vkB_aO9g8Y/XnC_6mEa8KI/AAAAAAALkG8/gHHJb2xNkjg5a818sEX2smrzum5xhK7RACLcBGAsYHQ/s72-c/PIX%2B1.jpg)
DKT. NDUMBARO AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI, SWEDEN
![](https://1.bp.blogspot.com/-0vkB_aO9g8Y/XnC_6mEa8KI/AAAAAAALkG8/gHHJb2xNkjg5a818sEX2smrzum5xhK7RACLcBGAsYHQ/s640/PIX%2B1.jpg)
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akisalimiana na Balozi wa Ubelgiji nchini, Mhe. Peter Van Acker kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao jijini Dar es Salaam
![](https://1.bp.blogspot.com/-5jgRfRXwDu0/XnC_6cXqIMI/AAAAAAALkG0/1kaikObsPq4Zju3XLs4L2Zr2UH98t7IWwCLcBGAsYHQ/s640/PIX%2B2.jpg)
Balozi wa Ubelgiji nchini, Mhe. Peter Van Acker akiongea na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati wa mazungumzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
![](https://1.bp.blogspot.com/-1Qr1LjED0ps/XnC_6ojE64I/AAAAAAALkG4/3iozUl-fpj88E4M9H00QIlGT7K1_hbgHgCLcBGAsYHQ/s640/PIX%2B3.jpg)
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dWMai3HlFDo/U4IJ97b1NgI/AAAAAAAFk88/K51Fi5LwmEI/s72-c/unnamed+(27).jpg)
BALOZI KAMALA AKUTANA NA GAVANA WA HAINAUT UBELGIJI
![](http://2.bp.blogspot.com/-dWMai3HlFDo/U4IJ97b1NgI/AAAAAAAFk88/K51Fi5LwmEI/s1600/unnamed+(27).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6A3JKFI9M8w/U4IWN48b7-I/AAAAAAAFk9c/RKx7t0Z-B6A/s1600/unnamed+(31).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HT4_AV3eByY/U-orondguxI/AAAAAAAF-94/GTacKkdhjco/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
BALOZI KAMALA ANADI MADINI YA TANZANIA UBELGIJI
![](http://1.bp.blogspot.com/-HT4_AV3eByY/U-orondguxI/AAAAAAAF-94/GTacKkdhjco/s1600/unnamed%2B(25).jpg)