Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


#Mirumbani ziarani Kigoma Kaskazini

Click to view slideshow.

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

maalim seif ziarani Wilaya ya Kaskazini B unguja

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.  Matawi na barza alizoweka mawe ya msingi ni pamoja na Kiombamvua, Mkaratini, Mgambo, Kilombero, Kipandoni na Kiwengwa Cairo. Hata hivyo, mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike katika viwanja vya Kipandoni umehairishwa, kwa madai kuwa haukupata kibali kutoka kwa jeshi la polisi.  Katibu Mkuu...

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa ziarani Kigoma

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili mkoani Kigoma kuanzia leo ikiwa ni ziara yake ya kwanza mkoani hapa tangu alipochaguliwa kuwa Waziri Mkuu.

 

11 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Ubelgiji ziarani Kigoma

belgium

Balozi wa Ubelgiji nchini , muheshimiwa Koen ADAM atakuwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Kigoma, kuanzia Jumatano tarehe 16 mpaka Ijumaa tarehe 18, Aprili 2014. Balozi ataambatana na Ndg. De Feyter, Mkuu wa kitengo cha Ushirikiano wa Maendeleo ya nchi katika Ubalozi wa Ubelgiji. Wakati wa ziara hii balozi atatumia fursa kukutana na Mkuu wa Mkoa na maafisa wa Wilaya ya (Kigoma na Kasulu), ili kuwafahamisha  na kuweza kupata uwelewa mzuri wa hali jamii na uchumi  katika mkoa huu, ambao...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ZIARANI MKOA WA KIGOMA


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz               Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,      STATE HOUSE,               1 BARACK OBAMA ROAD,   11400 DAR ES SALAAM.Tanzania.   
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Serikali ya Awamu ya nne inayomaliza muda wake mwezi Octoba mwaka huu, imeyashughulikia matatizo yaliyokuwepo kwa kiasi kikubwa na yale...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Asanteni sana Kigoma Kaskazini-Zitto Kabwe

Asanteni sana Kigoma Kaskazini

HOTUBA YA MH ZITTO KABWE (MBUNGE KIGOMA KASKAZINI) ILIYOTOLEWA LEO TAREHE 15 MACHI 2015

Zitto Kabwe speaking at a rally in Karatu on September 30 2012.

Zitto Kabwe .

Mwanamapinduzi na Rais wa zamani wa Burkina Faso Thomas Sankara alisema kuwa ili kuleta mabadiliko ya kimapinduzi ni lazima kuwa na hali fulani ya uendawazimu. Ila tusiufikirie uendawazimu huu wa kuokota makopo bali ule ukichaa mzuri wa kuamini katika mambo au misingi fulani na kuisimamia kwa dhati pamoja na changamoto nyingi.

Kwa kuamini kwa dhati katika...

 

10 years ago

Habarileo

Zitto alitema rasmi jimbo lake la Kigoma Kaskazini

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana amewaaga rasmi wananchi wa jimbo hilo huku akiwataka wananchi hao kutosononeka kwa uamuzi wake wa kutoendelea kugombea ubunge wa jimbo hilo, bali wamwombee na kumuunga mkono katika kila uamuzi atakaouchukua.

 

10 years ago

GPL

ZITTO KABWE ALIVYOVULIWA UBUNGE WA KIGOMA KASKAZINI LEO

Mnadhimu Mkuu Kambi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, akitoa tamko la kumvua uanachama Zitto Zuberi Kabwe leo. Waandishi wa habari wakifuatilia tukio hilo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Mtifuano mkubwa majimbo ya Kigoma Kaskazini, Kusini, Muhambwe na Buyungu

KIGOMA KASKAZINI Tuliangalie jimbo hili tangu mwanzo wa mfumo wa vyama vingi. Mwaka 1995 wananchi wa Kigoma Kaskazini waliamini watachagua upinzani, hasa NCCR –Mageuzi. Kwa bahati mbaya matokeo yalipotangazwa, mgombea wa CCM alishinda kwa kura kidogo, huku kura zake zikizidiwa mbali na mchanganyiko wa kura za mgombea wa NCCR-Mageuzi na vyama vingine vya upinzani.

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MH ZITTO KABWE (MBUNGE KIGOMA KASKAZINI) ILIYOTOLEWA LEO MACHI 15, 2015

Mhe. Zitto Kabwe akitoa Ahsante kwa wananchi wa jimboni kwake kwa kumchagua kuwa mbunge wao kwa vipindi viwili.

Mwanamapinduzi na Rais wa zamani wa Burkina Faso Thomas Sankara alisema kuwa ili kuleta mabadiliko ya kimapinduzi ni lazima kuwa na hali fulani ya uendawazimu.

Ila tusiufikirie uendawazimu huu wa kuokota makopo bali ule ukichaa mzuri wa kuamini katika mambo au misingi fulani na kuisimamia kwa dhati pamoja na changamoto nyingi.

Kwa kuamini kwa dhati katika mabadiliko haya na kutaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani