BAN KI MOON ATEUA MJUMBE WAKE MPYA WA ENEO LA MAZIWA MAKUU
![](http://2.bp.blogspot.com/-xYgEFKAncDY/U8jF8Cj_QfI/AAAAAAAF3N4/x014zjw1iOc/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemteua Bw. Said Djinnit wa Algeria kuwa Mjumbe wake maalum atakaye shughulikia Eneo la Maziwa Makuu. Bwana Djinnit anachukua nafasi ya Bi. Mary Robinson wa Ireland, ambaye mapema wiki alimtangaza kumteua kuwa Mjumbe wake Maalum kuhusu mabadiliko ya tabia nchi ( Climate Change) Akitangaza uteuzi huo Ban Ki Moon, amemuelezea Bw, Djinnit kama mtu mwenye uzoefu mkubwa na ambaye amewahi kushika nyadhifa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AZUNGUMZA NA MJUMBE MAALUM WA MAREKANI ENEO LA MAZIWA MAKUU
10 years ago
MichuziWaziri Membe azungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN eneo la Maziwa Makuu
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1Q3gBdHqSWo/VLzXQar7vVI/AAAAAAAG-TQ/3TW12B_t5Wc/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
10 years ago
Habarileo13 Jun
Shein: Ushirikiano Z’bar Maziwa Makuu ni mzuri
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imekuwa na uhusiano na ushirikiano mzuri na nchi za Maziwa Makuu, hivyo ipo haja ya kuimarisha hatua hiyo kwa kuendelea kuutangaza utalii wa Zanzibar katika nchi hizo.
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Pinda ahudhuria mkutano wa Maziwa Makuu Nairobi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitia saini tamko la Mkutano Maalum wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) kuhusu mikakati ya kutatua tatizo la ajira kwa vijana kupitia Uendelezaji Miundombinu na uwekezaji, uliofanyika kwenye hoteli ya Kempinski jijini Nairobi Julai 24, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Batilda Burian na wapili kushoto ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Soko la Kagunga Kigoma kunufaisha maziwa makuu
10 years ago
Habarileo30 Jan
‘Kuna ongezeko la wahamiaji haramu nchi za Maziwa Makuu’
LICHA ya kuendeshwa kwa Operesheni Kimbunga ili kuondoa wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi nchini isivyo halali, imebainika kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji haramu kutoka nchi za Maziwa Makuu baada ya wengi wa walioondolewa katika operesheni hiyo kurejea nchini kimya kimya bila ya kukamilisha taratibu za kuishi nchini.
10 years ago
Michuzi13 Aug
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fcqFBU8UzrA/U9EJCBplRxI/AAAAAAAF5xM/f5rXTtiBn08/s72-c/unnamed+(16).jpg)
MH. PINDA AHUDHURIA MKUTANO WA MAZIWA MAKUU JIJINI NAIROBI LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-fcqFBU8UzrA/U9EJCBplRxI/AAAAAAAF5xM/f5rXTtiBn08/s1600/unnamed+(16).jpg)