Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe azungumza na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN eneo la Maziwa Makuu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Mwakilishi  Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw.  Said Djinnit walipokutana kwa mazungumzo tarehe 22 Aprili, 2015. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya usalama katika Ukanda huo hususan hali ilivyo nchini DRC.Waziri Membe akimweleza jambo Bw. Said Djinnit (katikati) huku Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilshi wa Shirika la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AZUNGUMZA NA MJUMBE MAALUM WA MAREKANI ENEO LA MAZIWA MAKUU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb)  na Mjumbe Maalum wa Marekani kwenye Ukanda wa Maziwa Makuu, Bw. Russel D. Feingold alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo. Katika mazungumzo yao waligusia mchango wa Tanzania katika suala la amani Mashariki mwa  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Mkurugenzi wa Idara  ya Ulaya na Amerika katika...

 

5 years ago

Michuzi

BALOZI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA WATUMISHI WA OFISI ZA MWAKILISHI WA KUDUMU WA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MAZIWA MAKUU AFRIKA


 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimkaribisha Mkuu wa Watumishi wa Ofisi za Mwakilishi wa Kudumu wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Maziwa Makuu Barani Afrika, Bw. Aniefiok Johnson katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es SalaamKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali Wilbert A. Ibuge akimuelezea jambo katika Ofisi ndogo zaWizara Jijini Dar es SalaamMkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu afungua Mkutano wa Kamati ya Ukaguzi ya Nchi za Maziwa Makuu

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akifungua Mkutano wa 6 wa Kamati ya Ukaguzi kwa Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu unaofanyika katika Hoteli Harbour View, Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti uvunaji haramu wa maliasili ikiwemo madini ambao kwa kiasi kikubwa umekuwa kichocheo cha vikundi vya uasi na migogoro katika Eneo la Maziwa Mkuu hususan katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

BOFYA HAPA...

 

9 years ago

Michuzi

Ujumbe kutoka nchi za maziwa makuu wamtembelea katibu mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo.

 Balozi wa maziwa makuu nchini Kenya katika wizara ya mambo ya nje, Mhe. Muburi Muita(aliyenyoosha mikono) akiongea na Katibu mkuu wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel wakati alipomtembelea ofisini kwake na ujumbe wa kutoka eneo la maziwa makuu(ICGLR) waliokuja kuangalia ushiriki wa vijana katika uchaguzi mkuu wa Tanzania na kuelezea kufurahishwa na ushiriki wa vijana wengi katika uchaguzi huu na kwamba uchaguzi ulikuwa wa Amani na mafanikio makubwa.Ujumbe...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWASILI JIJINI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS KIKWETE KWENYE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Seneta wa Kirinyaga, Daniel Dickson Karaba baada ya kuwasili wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014.Katikati ni Balozi wa Tanzania nchini Kenya,Mh. Batilda - Sarha BurhanWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

BAN KI MOON ATEUA MJUMBE WAKE MPYA WA ENEO LA MAZIWA MAKUU

Na Mwandishi Maalum, New York Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemteua Bw. Said Djinnit wa Algeria kuwa Mjumbe wake maalum atakaye shughulikia Eneo la Maziwa Makuu. Bwana Djinnit anachukua nafasi ya Bi. Mary Robinson wa Ireland, ambaye mapema wiki alimtangaza kumteua kuwa Mjumbe wake Maalum kuhusu mabadiliko ya tabia nchi ( Climate Change)  Akitangaza uteuzi huo Ban Ki Moon, amemuelezea Bw, Djinnit kama mtu mwenye uzoefu mkubwa na ambaye amewahi kushika nyadhifa...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Linda Thomas - Greenfield alipotembelea Wizarani na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kukuza mahusiano kati ya Tanzania na Marekani katika Sekta mbalimbali.Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress pamoja na ujumbe ulioambatana na Mhe. Thomas - Greenfield nao wakifuatilia...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe azungumza na Balozi wa Oman nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Oman hapa nchini, Mhe. Saoud Al Ruqaishi alimpomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumzia masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Oman. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi Kasiga (kulia) pamoja na Bi. Asha Mkuja,...

 

11 years ago

Michuzi

MIKUTANO YA WAZIRI MEMBE MAKAO MAKUU YA JUMUIYA YA MADOLA LONDON, UINGEREZA

 Mwenyekiti wa Kikosi Kazi cha Mawaziri wa  Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe akiendesha kikao cha 43 cha chombo hicho cha utendaji cha Jumuiya ya Madola Jijini London Uingereza.   Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi 9 zinazounda Kikosi Kazi cha Jumuiya ya Madola chini ya Uenyekiti wa Tanzania wakishiriki kwenye Mazungumzo na waandishi wa Habari baada ya kumaliza kikao chake cha 43 jijini London Uingereza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani