Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barakoa inayoendeshwa na rimoti

Israel imezindua barakoa ya kutumia rimoti

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UKOMO WA BEI YA BARAKOA HADHARANI, VIWANDA VYA NGUO NCHINI KUTENGENEZA BARAKOA ZAIDI

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa amesema atachukua hatua kwa Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs) zinazouza barakoa kwa gharama kubwa.

Bashungwa alitoa taadhari hiyo mkoani Arusha alipotembelea Viwanda vya kuzalisha nguo vya Sunflug na A to Z kuangalia hali ya uzalishaji wa barakoa katika Viwanda hivyo.
Bashungwa alitoa onyo kwa NGOs zilizoomba kibali cha kuzalisha barakoa kwa ajili ya kuwasaidia Watanzania lakini badala yake wanauza barakoa kwa shillingi 2,500 hadi...

 

5 years ago

Michuzi

KIKUNDI CHA BARAKOA TZ CHAGAWA BARAKOA BURE ZAIDI YA 1000 MAENEO MBALIMBALI IKIWEMO VITUO VYA WATOTO YATIMA

Janga la ugonjwa wa virusi vya COVID-19 umeleta uhaba ya bidhaa nyingi humu nchini zikiwemo Barakoa. Rania Nasser ambaye ni mwanafunzi wa sekondari aliunda kikundi kinachojulikana kama Barakoa Tz cha kutengeneza na kugawa barakoa bure kwa wale wenye uhitaji. Nia yake kubwa ilikuwa ni kutengeneza barakoa nyingi na kuzigawa bure kwenye vituo vya polisi vilivyo karibu na nyumbani kwao bure kabisa.
Baada ya wiki moja, uhitaji wa barakoa uliongezeka maradufu na hivyo akaona umuhimu wake...

 

11 years ago

Mwananchi

Tume ya Uchaguzi inaendeshwa kwa ‘rimoti’?

Mkutano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na vyama vya siasa uliofanyika katikati ya wiki umethibitisha hofu yetu tuliyoielezea awali kwamba tume hiyo isipojitambua na kuacha ubabaishaji na kauli zinazokinzana, itavuruga mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 na kusababisha vurugu.

 

11 years ago

Mwananchi

Teknolojia ya Smart house: Nyumba zinazotumia rimoti, simu za mkononi

Unapokuwa nje ya nyumba yako hasa ikiwa imesheheni vitu vingi vya gharama, akili hushindwa kutulia kwa kujiuliza maswali mengi kuhusu usalama wa vitu hivyo.

 

10 years ago

Vijimambo

PROGRAMU MAALUMU KWA WASICHANA INAYOENDESHWA NA CHUO KIKUU HURIA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa tatu kutoka Kulia) akifurahi jambo katika uzinduzi wa mafunzo ya wasichana yaliyojikita katika mafunzo ya ufundi,mawasiliano na ujuzi wa kibiashara.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa mafunzo kutoka VETA Bi.Leah Lukindo,anaefuata ni makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Tolly Mbwette.Makamu Mkuu wa chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof Tolly Mbwette akifungua mafunzo kwa ajili ya wasichana...

 

10 years ago

Michuzi

MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA INAYOENDESHWA NA UTT AMIS YAPATA FAIDA KUBWA

Afisa Mwendeshaji Mkuu wa UTT AMIS Bw.Simon Migangala akiongea na waandishi wa habari jana Dar es salaam kuhusiana na ufanisi wa mifuko kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.
UTT AMIS ndiyo waendeshaji na waanzilishi wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja nchini.Mpaka sasa wanaendesha mifuko mitano ya uwekezaji ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa wekeza Maisha,Mfuko wa Watoto, Mfuko wa Kujikimu na Mfuko wa Ukwasi yenye zaidi ya shilingi bilioni 227.
Bwana Migangala aliwaambia waandishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

uzinduzi rasmi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na Kilimanjaro Premium Lager

Viongozi wa timu za Simba na Yanga, Geofrey Nyange Kaburu, kushoto ambaye ni Makamu wa Rais Simba na Mohamed Bhinda, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Yanga (kulia) wakivuta kamba kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Uzinduzi huo rasmi kwa wadau wa Simba na Yanga ulifanyika leo kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.Katikati ni Meneja wa bia hiyo, George Kavishe na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Bi...

 

10 years ago

GPL

PROGRAMU MAALUMU KWA WASICHANA INAYOENDESHWA NA CHUO KIKUU HURIA NA NAFASI OPPORTUNITY SOCIETY(NOS) YAZINDULIWA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel (wa tatu kutoka Kulia) akifurahi jambo katika uzinduzi wa mafunzo ya wasichana yaliyojikita katika mafunzo ya ufundi,mawasiliano na ujuzi wa kibiashara.Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa mafunzo kutoka VETA Bi.Leah Lukindo,anaefuata ni makamu mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Prof. Tolly Mbwette.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI WAKIELIMISHWA KUHUSIANA NA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA(MUTUAL FUNDS) INAYOENDESHWA NA UTT AMIS

Ndugu, Issa Wahichinenda  Mkurugenzi wa uendeshaji wa UTT AMIS akitoa maada kuhusiana na fursa za uwekezaji katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi wa ofisi ya Mkaguzi wa hesabu za serikali katika kikao cha baraza la wafanyakazi kilicho fanyika hivi karibuni  Mtwara.
UTT AMIS ndiyo magwiji katika kuanzisha na kuendesha Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (Mutual Funds) hapa nchini. Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani