Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza lileile na mizigo ileile hadi 2015

>Kabla ya kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri hivi karibuni, kulikuwa na shauku kubwa mno ya kutaka kuwafahamu wapya watakaoingia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000

Baada ya Sekta Binafsi kuendesha sekta ya reli pasi na mafanikio ya kuridhisha, mwaka 2011, Serikali iliamua kutengua rasmi mkataba wake na Kampuni ya Reli ya India ya Rites.

 

10 years ago

Michuzi

KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015

Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika kutangaza kusitishwa kwa muda huduma ya treni ya Jiji  kuanzia leo  Jumatano jioni Februari 25 hadi  Jumatatu  Machi 02, 2015 itakapoanza tena.
Kwa mujibu  wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni  leo Februari 25,  2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa  na vichwa  viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki  kichwa kimoja...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Baraza la mawaziri lasema litaongoza Burundi hadi rais atakapoapishwa

Baraza la Mawaziri nchini Burundi limesema kuwa linaongoza nchi hadi rais mpya atakapoapishwa.

 

10 years ago

Michuzi

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA RASMI KWA MFUMO WA BVR MKOANI KAGERA KUANA KESHO MEI 21, 2015 HADI JUNI 18, 2015


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya Bukoba kesho tarehe 21/05/2015 kuanzia asubuhi saa mbili. Zoezi la uzinduzi litaongozwa na Mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. John Mongella katika mtaa wa Pwani eneo la uwanja wa ndege wa Bukoba kata ya Miembeni Manispaa ya Bukoba. Uzinduzi huo utafanyika katika Halmashauri zote za wilaya siku hiyo ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Jangwani hadithi ileile

>Licha ya Jangwani kutajwa kuwa hatarishi na wakazi wake kupewa viwanja Mabwepande na kutakiwa kuhama, jana malalamiko kwa wakazi wa eneo hilo lililopo bonde la Mto Msimbazi waliendeleza malalamiko yake baada ya kuathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria:Ratiba ya Uchaguzi ni ileile

Serikali ya Nigeria imesema inaendelea na Ratiba ya uchaguzi ile ile

 

10 years ago

Mwananchi

Hali ileile shule za msingi Nyamarere, Bweye

Ilikuwa ni wakati mgumu kwa walimu wa Shule ya Msingi Nyamarere iliyopo mkoani Geita,  baada ya gazeti hili kuchapisha taarifa ya uhaba mkubwa  wa madarasa,  madawati na vyoo. Taarifa hiyo ilichapishwa gazetini kwa mtindo wa makala picha na kutoka siku tano mfululizo kuanzia  Januari nne hadi nane.

 

10 years ago

Michuzi

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA KIDOGO KUTOKA ASILIMIA 4.0 MWEZI JANUARI, 2015 HADI KUFIKIA ASILIMIA 4.2 MWEZI FEBRUARI, 2015

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa Mfumuko wa Bei nchini kwa mwezi Februari, 2015. Kulia kwake ni Kaimu Meneja wa Takwimu za Ajira na Bei wa Ofisi hiyo Bi. Ruth Minja.Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwa kazini wakati Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu akizungumza nao leo jijini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: UKAWA hadi 2015

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema nguvu na umoja wa UKAWA vilivyopo sasa, vitaendelea kuwepo na kutumika hadi katika uchaguzi mkuu wa nafasi mbalimbali mwakani....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani