Mbowe: UKAWA hadi 2015
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema nguvu na umoja wa UKAWA vilivyopo sasa, vitaendelea kuwepo na kutumika hadi katika uchaguzi mkuu wa nafasi mbalimbali mwakani....
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Aug
Mbowe aeleza kilichomsibu hadi alazwe hospitali
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema anasumbuliwa na uchovu na ametakiwa na madaktari kupumzika kwa takribani saa 48 bila usumbufu wowote.
10 years ago
TheCitizen17 Apr
Ukawa is solid, says Mbowe
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_J_NgJ258yY/VO4pYlWbh2I/AAAAAAAHF2w/wzD8sewVLIE/s72-c/download%2B(1).jpg)
KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA JUMATANO FEBRUARI 25, 2015 HADI JUMATATU MACHI 02, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-_J_NgJ258yY/VO4pYlWbh2I/AAAAAAAHF2w/wzD8sewVLIE/s1600/download%2B(1).jpg)
Kwa mujibu wa taarifa ya Uongozi wa TRL iliotolewa jioni leo Februari 25, 2015 uamuzi wa kusitisha huduma hiyo umesababishwa na vichwa viwili vya treni hiyo kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa katika Karakana Kuu ya Morogoro .Taarifa imefafanua kuwa kwa vile kimebaki kichwa kimoja...
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa nusura ‘wamchenjie’ Mbowe
11 years ago
Habarileo24 Jun
Mbowe ataka Ukawa wajiimarishe
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za kisiasa wanazoendelea kuzifanya.
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa
NA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Mbowe amshangaa Pinda kuhusu Ukawa
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Mbowe: Chagueni Ukawa mpate maendeleo
9 years ago
Mwananchi20 Sep
Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo