Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe amshangaa Pinda kuhusu Ukawa

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameelezea kushangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kitendo cha Ukawa kususia Bunge la Katiba kinauweka njia panda uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lubuva amshangaa Mbowe

Pg 4 oct 3Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi la vijana kubaki vituoni ili kulinda kura.

Kauli hiyo ya Lubuva ambayo aliitoa Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari inaonekana kumjibu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Akihutubia mkutano wa kampeni jijini Dar es...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura

Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]

The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

TheCitizen

Ukawa is solid, says Mbowe

>Chadema national chairman Freeman Mbowe yesterday declared that the opposition coalition will not crumble even in the wake of fears that a bruising nomination process could end their current cooperation.

 

11 years ago

Habarileo

Mbowe ataka Ukawa wajiimarishe

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za kisiasa wanazoendelea kuzifanya.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa

freeman-mbowe-chademaNA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: UKAWA hadi 2015

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema nguvu na umoja wa UKAWA vilivyopo sasa, vitaendelea kuwepo na kutumika hadi katika uchaguzi mkuu wa nafasi mbalimbali mwakani....

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa nusura ‘wamchenjie’ Mbowe

Wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), juzi nusura wamgeuzie kibao mwenyekiti wao, Freeman Mbowe baada ya kuchelewa kufika kwenye mkutano ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada ya kususia kikao cha Bunge la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Chagueni Ukawa mpate maendeleo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka wananchi kuwachagua viongozi wa vyama vinavyounda Ukawa katika ngazi zote za Serikali ili waweze kushirikiana nao katika kutatua matatizo mengi yanayowakabili.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo

Wakati mzozo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukishika kasi katika maeneo mbalimbali nchini, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hayo ni mambo madogo na umoja bado uko imara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani