Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lubuva amshangaa Mbowe

Pg 4 oct 3Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi la vijana kubaki vituoni ili kulinda kura.

Kauli hiyo ya Lubuva ambayo aliitoa Dar es Salaam jana wakati akizungumza na waandishi wa habari inaonekana kumjibu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.

Akihutubia mkutano wa kampeni jijini Dar es...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura

Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]

The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe amshangaa Pinda kuhusu Ukawa

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameelezea kushangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kitendo cha Ukawa kususia Bunge la Katiba kinauweka njia panda uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

11 years ago

Mwananchi

DC amshangaa Mwenyekiti CCM

Sakata la ujenzi wa choo Soko Kuu la Geita, limezidi kufukuta baada ya Mkuu wa Wilaya ya Geita, Manzie Mangochie kufananisha kitendo kilichofanywa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma cha kuzuia ujenzi wa choo hicho sawa na wananchi wenye hasira kali wanaojichukulia sheria mkononi kufanya mauaji.

 

10 years ago

GPL

JINI KABULA AMSHANGAA BUSHOKE!

Imelda Mtema MIRIAM Jolwa, maarufu kama Jini Kabula, ambaye ni staa kutoka Bongo Movie, amemshangaa aliyekuwa mpenzi wake, Ruta Bushoke kumkana kuwa hawajawahi kuwa wapenzi.Akistorisha na gazeti hili hivi karibuni, Kabula alisema maneno ya mkali huyo wa muziki wa Kizazi Kipya yanaashiria kama mtu anayechanganyikiwa, kwani asingeweza kujinadi kuwa ni mpenziwe kama haikuwa hivyo. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1TofnAr ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Diamond Amjibu Jokate, Amshangaa Kwakutoa Pongezi

Mkali wa ngoma ya Nana,ambaye amenyakua tuzo ya MTV MAMA kama Mtumbuizaji Bora wa Afrika,Diamond Platnamz amemjibu mwanamitindo Jokate Mwegelo baada kuandika ‘status’ kwenye akaunti ya Instagram yake na kumpongeza msanii huyo kunyakua tuzo na kusema mbona hakumsapoti kwa kumpost kwenye akaunti yake kabla ya kutwaa tuzo hiyo.

Akizungumza na XXL ya Clouds Fm,Diamond alisema kuwa baada ya kuambiwa alichopost Jokate kumjibu Diamond baada ya kupost video ikimuonyesha mwanamitindo huyo akicheza...

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI AMSHANGAA MEMBE KWA TAMKO LAKE


 Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akijaza fomu jana za kumdhamini  Rais Dk.John Magufuli anayeomba ridhaa ya chama chake kugombea urais mwaka huu. Kulia ni ,Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi, Noverty Kibaji.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi, Noverty Kibaji, akizungumzia mchakato wa kumdhamini anayeomba ridhaa ya  kugombea urais mwaka huu kupitia chama hicho Rais Dk. John Magufuli. Wana CCM wakijaza fomu za kumdhamini mgombea wao. Kulia ni Katibu...

 

11 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMSHANGAA AUNT KUISHI MBALI NA MUMEWE

Stori: Mayasa Mariwata MWANADADA anayefanya poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba amejikuta akibaki na viulizo vingi kutokana na kitendo cha msanii mwenzake, Aunt Ezekiel kuishi mbali na mumewe anayefahamika kwa jina la Demonte kwa kipindi kirefu, jambo ambalo yeye hawezi kulifanya. Mwanadada anayefanya poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba. Akizungumza na paparazi wetu, msanii huyo alisema kitendo cha Aunt kuolewa...

 

10 years ago

TheCitizen

CHALLENGE: It's tough job: Lubuva

Sitting behind a wooden desk in his office at the 7th floor of the Posta House in the city Judge Lubuva looks somehow tired and a bit jittery.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani