Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond Amjibu Jokate, Amshangaa Kwakutoa Pongezi

Mkali wa ngoma ya Nana,ambaye amenyakua tuzo ya MTV MAMA kama Mtumbuizaji Bora wa Afrika,Diamond Platnamz amemjibu mwanamitindo Jokate Mwegelo baada kuandika ‘status’ kwenye akaunti ya Instagram yake na kumpongeza msanii huyo kunyakua tuzo na kusema mbona hakumsapoti kwa kumpost kwenye akaunti yake kabla ya kutwaa tuzo hiyo.

Akizungumza na XXL ya Clouds Fm,Diamond alisema kuwa baada ya kuambiwa alichopost Jokate kumjibu Diamond baada ya kupost video ikimuonyesha mwanamitindo huyo akicheza...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu

Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.

Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz

Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AMJIBU KWA VITENDO EX WA ZARI

Diamond akiwa kwenye baiskeli huku Zari akiwa kwenye BMW X6. Baadhi ya post za King Lawrence Instagram akimkejeli Diamond. STAA wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, ameamua kumjibu kwa vitendo anayedai kuwa aliwahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King Lawrence ambaye amekuwa akimtupia maneno ya kumtusi na kejeli mitandaoni.… ...

 

11 years ago

GPL

KWA HILI DIAMOND UNASTAHILI PONGEZI!

KWAKO,
Nasibu Abdul ‘Diamond’. Pole na kazi na mihangaiko ya hapa na pale. Najua uko bize sana na shoo za kila kukicha. Siyo mbaya, ndiyo maisha, maana bila kazi inakuwa siyo maisha tena. Muda mrefu sana hatuwasiliani... nasikia siku hizi unapokea simu kwa nadra sana! Hata hivyo, siyo lengo langu kuzungumzia hayo. Ni kitambo kidogo hatujakutana kwenye barua. Naamini leo ni sahihi zaidi kukufikishia ujumbe huu. Hata...

 

10 years ago

GPL

JOKATE AMLIPUA DIAMOND!

Musa mateja Jino kwa jino! Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda, wikiendi...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AMUITA JOKATE MAKOMBO

Shani Ramadhan na Chande Abdallah DONGO! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amemuita mpenzi wake wa zamani Jokate Mwegelo kuwa ni makombo na kudai kama zilipendwa huyo anatembea na hasimu wake Ali Kiba, hakuna jipya kwani anakula makombo, Risasi Jumamosi linakupa mchapo kamili. Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Diamond ametoa kauli hiyo Jumatano iliyopita wakati mwanahabari wetu...

 

10 years ago

GPL

WEMA, JOKATE WAMZOMEA DIAMOND!

Musa Mateja
KAMA mbwai na iwe mbwai tu! Hiyo ndiyo kauli pekee iliyoweza kuakisi kitendo cha warembo, Wema Sepetu ‘Madam’ na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kuamua kumzomea zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ baada ya kuzidiwa tuzo na hasimu wake, Ali Kiba, Risasi Mchanganyiko lina full stori. Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheka baada Ali Kiba kuchukua tuzo ya nne kwenye Ukumbi wa...

 

11 years ago

GPL

JOKATE: HAKUNA KAMA DIAMOND

Stori: Waandishi Wetu
Jumamosi iliyopita, Oktoba 25, 2014 ilikuwa ni Siku ya Msanii Duniani ambayo kwa mara ya kwanza, Tanzania iliiadhimisha siku hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal. Dr Chris Mauki na Jokate Mwegelo walikuwa washehereshaji wa tamasha hilo kwenye Ukumbi wa Mlimani City uliopo Dar es Salaam. Siku hiyo ilipambwa...

 

11 years ago

GPL

JOKATE, DIAMOND WAONEANA AIBU!

Mayasa Mariwata Kwa mara ya kwanza tangu walipomwagana, mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wanadaiwa kuoneana aibu walipokutana laivu. Mastaa wawili Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ pichani. Akiwa na mtangazaji mwenzake, Edzen Jumanne, wikiendi iliyopita Jokate alidaiwa kushindwa kumbana Diamond kwa...

 

10 years ago

GPL

JOKATE: DIAMOND HANA AKILI TIMAMU

Stori: imelda mtema
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto. Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani