Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JOKATE: HAKUNA KAMA DIAMOND

Stori: Waandishi Wetu
Jumamosi iliyopita, Oktoba 25, 2014 ilikuwa ni Siku ya Msanii Duniani ambayo kwa mara ya kwanza, Tanzania iliiadhimisha siku hiyo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, mgeni rasmi akiwa ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal. Dr Chris Mauki na Jokate Mwegelo walikuwa washehereshaji wa tamasha hilo kwenye Ukumbi wa Mlimani City uliopo Dar es Salaam. Siku hiyo ilipambwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Ushindi wa Tuzo, Diamond Atupa Dongo kwa Jokate, Jokate Naye Ajibu

Usiku wa jana kuamkia leo July 19 2015 Diamond Platnumz kanyanyua ushindi mwingine kwenye Tuzo za MTVMAMA2015, zilizokuwa zikitolewa Durban Africa Kusini.

Leo Diamond alipost Video inayomwonesha staa wa Mitindo Bongo, mrembo Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ akicheza wimbo wa ‘Mdogomdogo‘ alafu akaandikia hivi >>>> ‘Mbona Bado, Mtanyooka tu..‘ >>>> @ diamondplatnumz

Baadae Jokate nae akaandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram kuhusu video hiyo ambayo alimpost Diamond.
Tuki-support mtu ndio kama hivi...

 

9 years ago

GPL

JOKATE, KIBA HAKUNA NDOA!

Brighton Masalu
Imebuma? Uwezekano wa Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba kutimiza ndoto yao ya kuoana na kuishi maisha ya mume na mke, unadaiwa kugonga mwamba kufuatia familia za pande zote kutoridhia uhusiano wao, Ijumaa Wikienda limeinyaka. Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba wakipozi kimahaba. Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, mmoja wa watu wa karibu na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hakuna kama Ronaldo

MWANASOKA Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Cristiano Ronaldo amezidi kuthibitisha uhatari wake mbele ya lango, baada ya usiku wa kuamkia jana kufunga mabao matatu ‘hat-trick’...

 

9 years ago

Mwananchi

Hakuna maendeleo kama hatujaelimika

Maendeleo yanahusiana moja kwa moja na elimu. Maana elimu ndiyo inayokuza michepuo ya akili ya binadamu aweze kubuni, kutenda, kuvumbua, kutengeneza vitu mbalimbali na kupata ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Rodgers:Hakuna kama Gerrard





KOCHA wa Mkuu wa Liverpool, Brendan Rodgers, amesema hakuna mchezaji anayeweza kuchukua nafasi ya nahodha Steven Gerrard.Rodgers alisema kuondoka kwa Gerrard katika kikosi hicho ni pengo kubwa kwa kuwa nahodha huyo alikuwa hodari na mtu aliyejituma.Kocha huyo alisema mchezaji huyo alikuwa ni moja ya wachezaji ambao wameisaidia Liverpool kupata mafanikio makubwa."Kuna wachezaji wengi na wazuri England, lakini  Liverpool haiwezi kupata mchezaji mzuri kama Gerrard ambaye hawezi kufananishwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari: Hakuna kama Azam FC

UONGOZI wa Azam FC, umezitaka klabu nyingine za Ligi Kuu Tanzania Bara, kuheshimu afya za wachezaji wao, na kuwafanyia uchunguzi wa afya wakiwasajili na hata wawapo ndani ya timu kwa...

 

10 years ago

GPL

HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA

Na Waandishi Wetu/Ijumaa Wikienda
Wikiendi iliyopita, dunia nzima ilikuwa ikiadhimisha siku ya Valentine’s Day au kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao! Mambo yalinoga ndani ya Ukumbi wa Dar Live ambapo wakali wa mapenzi, Christian Bella ‘Obama’ na Mzee Yusuf walifanya yao na kuzikonga vilivyo nyoyo za maelfu ya mashabiki waliofurika, Ijumaa Wikienda lilikuwepo kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Mkali wa mapenzi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Hakuna kama Sokoine- Kimiti

Leo Watanzania wanaadhimisha miaka 30 tangu kifo cha Edward Moringe Sokoine, ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

 

10 years ago

GPL

JOKATE AMLIPUA DIAMOND!

Musa mateja Jino kwa jino! Sexy lady anayefanya poa na ngoma yake ya Leo Leo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, amemlipua aliyewahi kuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye hivi karibuni alimwita makombo baada ya kusikia kwa sasa anatoka kimalovee na msanii Ali Kiba. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa Bongo, Ijumaa Wikienda, wikiendi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani