Rodgers:Hakuna kama Gerrard
![](http://2.bp.blogspot.com/-VockhVywqyk/VVii_KLDtdI/AAAAAAAACG8/6rztfePEkQA/s72-c/gerrard.jpg)
KOCHA wa Mkuu wa Liverpool, Brendan Rodgers, amesema hakuna mchezaji anayeweza kuchukua nafasi ya nahodha Steven Gerrard.Rodgers alisema kuondoka kwa Gerrard katika kikosi hicho ni pengo kubwa kwa kuwa nahodha huyo alikuwa hodari na mtu aliyejituma.Kocha huyo alisema mchezaji huyo alikuwa ni moja ya wachezaji ambao wameisaidia Liverpool kupata mafanikio makubwa."Kuna wachezaji wengi na wazuri England, lakini Liverpool haiwezi kupata mchezaji mzuri kama Gerrard ambaye hawezi kufananishwa na...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Dec
B.Rodgers:Wacheni kumtegemea Gerrard
11 years ago
BBCSwahili18 Mar
Steven Gerrard ammwagia sifa Rodgers
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Hakuna kama Ronaldo
MWANASOKA Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), Cristiano Ronaldo amezidi kuthibitisha uhatari wake mbele ya lango, baada ya usiku wa kuamkia jana kufunga mabao matatu ‘hat-trick’...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68xXzXfwLzSnf5et*1bgxiZSvqPBpLUvPNG38miKxcLssqKFXUzhzeP3uAPrHr8JkfcFclLIezDPhfb-rD3I4bYm/frontWIKIENDA.jpg?width=650)
HAKUNA KAMA CHRISTIAN BELLA
11 years ago
Tanzania Daima11 Jul
Daktari: Hakuna kama Azam FC
UONGOZI wa Azam FC, umezitaka klabu nyingine za Ligi Kuu Tanzania Bara, kuheshimu afya za wachezaji wao, na kuwafanyia uchunguzi wa afya wakiwasajili na hata wawapo ndani ya timu kwa...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Hakuna kama Sokoine- Kimiti
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycEoRSbMXZ9etiDvgv3Bs2PV3Olyi3Dvxw6ePNOLMLBhuVexJofSQRnHqWOAA6aJ6fx6kgaCGlpPtTInsbO4dnZ8/jokate.jpg)
JOKATE: HAKUNA KAMA DIAMOND
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Hakuna maendeleo kama hatujaelimika
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Lowassa: Hakuna kama Edward Sokoine