DC IKUNGI AMSHANGAA MEMBE KWA TAMKO LAKE

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akijaza fomu jana za kumdhamini Rais Dk.John Magufuli anayeomba ridhaa ya chama chake kugombea urais mwaka huu. Kulia ni ,Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi, Noverty Kibaji.
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi, Noverty Kibaji, akizungumzia mchakato wa kumdhamini anayeomba ridhaa ya kugombea urais mwaka huu kupitia chama hicho Rais Dk. John Magufuli. Wana CCM wakijaza fomu za kumdhamini mgombea wao. Kulia ni Katibu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLVURUGU ZA AFRIKA KUSINI, WAZIRI MEMBE ATOA TAMKO
9 years ago
Michuzi
SERIKALI YASEMA TAMKO LAKE LA TIBA ASILI NA MBADALA LIKO PALEPALE

Serikali imesema kwamba tamko lake lilitolewa hivi karibuni kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala palepale kwa kuwa lengo lake ni kuboresha huduma hiyo. Hivyo kama kuna mtoa huduma ambaye amekwazika na tangazo hilo ipo tayari kuzungumza naye.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tamko hilo kwenye ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar...
10 years ago
Mzalendo Zanzibar03 Oct
Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura
Mwenyekiti wa Tume Damian Lubuva Saturday, October 3, 2015 MWENYEKITI wa Tume ya Taifa Uchaguzi nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva, ameeleza kushangazwa na kauli zinazotolewa na baadhi ya vyama vya siasa wakiwahamasisha wafuasi wao hasa kundi […]
The post Mwenyekiti wa Tume Ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva Amshangaa MBOWE Kwa Kuhamasisha Vijana Kubaki Vituoni Kulinda Kura appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Dewji Blog22 Oct
Rais aagiza kufunguliwa kwa mgodi wa dhahabu wa Mattany Ikungi
Rais wa Shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina, akizungumza na wachimbaji madini wa machimbo ya dhahabu kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi .Rais Bina pamoja na mambo mengine, aliagiza kufunguliwa kwa mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na Mattany Khalifa uliofungwa baada ya kuvamiwa na wachimbaji wadogo.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
RAIS wa shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina, ameagiza kufunguliwa mara moja kwa mgodi wa dhahabu wa Mattany Ikungi na kuonya...
5 years ago
Michuzi
IKUNGI YATEMBEA NA FALSAFA YA RAIS JPM KWA ASILIMIA 100


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi(mwenye miwani) akitoa maelekezo ya namna bora ya kufanya kazi katika kikundi kwa wakikundi cha Jitume Vijana chenye vijana...
11 years ago
Dewji Blog04 Sep
MNEC Ikungi awataka viongozi wa dini kukemea maovu kwa vijana
Mjumbe wa halmashauri kuu (NEC) CCM taifa wilaya ya Ikungi, Jonathan Njau, akizungumza na viongozi wa makanisa ya Free Pentekoste, KKKT na Roman katoliki kijiji cha Kipumbuiko muda mfupi kabla ya kuwakabidhi msaada wa mifuko 60 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji wa majengo ya makanisa yao.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
VIONGOZI wa madhehebu ya dini jimbo la Singida mashariki mkoa wa Singida, wameombwa kuwaelimisha na kuwahimiza vijana kuishi maisha mema na ya uadilifu, ili kupunguza kasi ya...
5 years ago
Michuzi
DC IKUNGI ATOA MAAGIZO MAZITO YA UGONJWA WA CORONA KWA MAAFISA AFYA

Na Dotto Mwaibale.
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo amewaagiza maafisa Afya wa wilaya hiyo kupita kwenye maeneo yenye muingiliano wa kila siku wa watu, minadani na maegesho ya malori yaendayo nje ya nchi na yaingiayo nchini kukagua hatua za tahadhari za maambukizi ya ugonjwa wa Corona.
Mpogolo alitoa maagizo hayo jana wakati akufungua...
10 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
CCM IKUNGI CHATOA KARIPIO KWA WANAOJIPITISHA PITISHA KUTOA RUSHWA ILI WACHAGULIWE
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi,Mkoani Singida
kimekamilisha zoezi la kutoa mafunzo kwa viongozi wa serikali za
vijiji,mitaa na vitongoji waliochaguliwa katika uchaguzi wa serikali
za mitaa na kutoa karipio kali kwa baadhi ya watu wanaotarajia
kugombea nafasi mbali mbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu ujao
walioanza kujipitisha pitisha na kutoa rushwa kwamba majina yao
hayatasita kukatwa.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ikungi,Bwana...