Mbowe: Chagueni Ukawa mpate maendeleo
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka wananchi kuwachagua viongozi wa vyama vinavyounda Ukawa katika ngazi zote za Serikali ili waweze kushirikiana nao katika kutatua matatizo mengi yanayowakabili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo02 Jun
Chagueni Rais atakayewaletea maendeleo -Askofu
WATANZANIA wametakiwa kutofanya makosa katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, na badala yake wameelekezwa kumchagua Rais atakayesaidia kuiletea nchi maendeleo.
10 years ago
TheCitizen17 Apr
Ukawa is solid, says Mbowe
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa
NA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Mbowe: UKAWA hadi 2015
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema nguvu na umoja wa UKAWA vilivyopo sasa, vitaendelea kuwepo na kutumika hadi katika uchaguzi mkuu wa nafasi mbalimbali mwakani....
11 years ago
Habarileo24 Jun
Mbowe ataka Ukawa wajiimarishe
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za kisiasa wanazoendelea kuzifanya.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa nusura ‘wamchenjie’ Mbowe
11 years ago
Mwananchi03 Jul
Mbowe amshangaa Pinda kuhusu Ukawa
9 years ago
Mwananchi20 Sep
Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo
10 years ago
Mwananchi28 Mar
Mbowe: Kila chama Ukawa ruksa kuandaa wagombea