Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chagueni Rais atakayewaletea maendeleo -Askofu

Askofu Charles Gadi WATANZANIA wametakiwa kutofanya makosa katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, na badala yake wameelekezwa kumchagua Rais atakayesaidia kuiletea nchi maendeleo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Chagueni Ukawa mpate maendeleo

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka wananchi kuwachagua viongozi wa vyama vinavyounda Ukawa katika ngazi zote za Serikali ili waweze kushirikiana nao katika kutatua matatizo mengi yanayowakabili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu: Rais ajaye atoke Zanzibar

ASKOFU wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanganyika Kusini Magharibi Mathew Mhagama amsema ili kuliunganisha Taifa la Tanzania kuwa moja ni vema Rais ajaye mwakani atoke Zanzibar na si vinginevyo....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete amlilia Askofu Lukanima

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na  Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kutokana na kifo cha Mhashamu Askofu mstaafu Fortunatus Lukanima, aliyekuwa Askofu wa...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufulia amtebelea Askofu pengo

Magufuli amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo, aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam.

Rais Magufuli aliyeongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli, amempa pole Askofu Pengo na kumuombea afya njema ili aweze kuendelea na shughuli zake za kutoa huduma za kiroho kwa wananchi.

Akielezea hali ya Askofu Pengo, Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka ushauri wa Rais uheshimiwe

Askofu mstaafu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias IsujaWATANZANIA wameshauriwa kuendelea kuheshimu hadhi na mamlaka aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kwa kuthamini na kuzingatia mwongozo na ushauri mbalimbali anaoutoa kwa wananchi, kwani mamlaka hayo yanatoka kwa Mungu.

 

10 years ago

Habarileo

Askofu azungumzia sifa za Rais ajaye

ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela amezungumzia sifa za rais ajae na kusema haoni shida nchi ikipata rais kijana.

 

5 years ago

Bongo5

‘Mh Rais, majipu unayotumbua wewe ni madogo madogo’ – Askofu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli sikukuu ya Pasaka, waliungana na waumini wa kanisa la Africa Inland – Tanzania Dayosisi ya Pwani Pastorate ya Magomeni kusali ibada ya Pasaka.

Katika ibada hiyo Askofu wa Kanisa la Africa Inland – Tanzania Baba Askofu Charles Salalah aliongoza maombi ya kumuombea Rais Magufuli na kumpongeza kwa kazi kubwa ya kurekebisha mambo yote yasiyofaa nchini ikiwemo kuwaondoa viongozi wanaotumia madaraka yao...

 

10 years ago

Michuzi

Mwandosya amwakilisha Rais Kusimikwa kwa askofu Kigoma

 Askofu wa Kanisa Katoliki  Jimbo la Kigoma, Joseph Mlola akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya kusimikwa kwa askofu huyo iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki Kigoma, jana.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya akiwasalimia waumini wa Kanisa Katoliki alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya sisimikwa kwa Askofu wa Kanisa Katoliki  Jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIMPONGEZA ASKOFU MPAYA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wazfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.
---------------------------------Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumapili, Aprili 12, 2015 ameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Shinyanga, kuhudhuria Ibada rasmi ya kumweka wakfu na kumsimika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani