Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barcelona wafungwa magoli manne La Liga

Barcelona wamepata kichapo kikubwa zaidi La Liga enzi ya Luis Enrique baada ya kulazwa 4-1 na Celta Vigo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015

December 19 2015 kwenye game ya ligi kuu Tanzania bara Yanga vs Stand United uwanja wa Taifa Dar Es Salaam ambapo hadi dakika 90 zinamalizika Yanga 4 – 0 Stand United, Matokeo ambayo yaliifanya Yanga kutimiza jumla ya point 30 na kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi, tazama hii video hapa chini ujionee magoli yote… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]

The post Video ya magoli yote manne ya Yanga Vs Stand United Dec 19 2015 appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa

Kama ulikua busy na weekend iliyopita moja ya mechi zilizokupita ni pamoja na ya Yanga vs Stand United, nimekurekodia magoli yote kwenye hii video hapa chini utayaona…. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa […]

The post Video yenye magoli yote manne ya Yanga vs Stand United ninayo hapa appeared first on...

 

11 years ago

BBCSwahili

Barcelona yajipa matumaini, La Liga

Barcelona yaahidi kutoa upinzani mkali kwenye michuano ya La Liga

 

10 years ago

BBCSwahili

Barcelona vinara mabao la Liga

Vinara wa La Liga FC Barcelona Jana wameishindilia Getafe Bao 6-0

 

5 years ago

Barca Blaugranes

Barcelona vs Real Sociedad live stream: Lineups, Kickoff time, TV channel, how to watch La Liga online

Barcelona vs Real Sociedad live stream: Lineups, Kickoff time, TV channel, how to watch La Liga online  Barca BlaugranesBarcelona's Lionel Messi accused of 'stamp' against Real Sociedad  GIVEMESPORTBarcelona 1-0 Real Sociedad: Braithwaite (and Messi) lift Barca to the top of La Liga  SquawkaFC Barcelona announce squad for La Liga match against Real Sociedad  Barca BlaugranesReal Madrid: 5 players who must shine against Real Betis  The Real ChampsView Full coverage on Google...

 

9 years ago

BBCSwahili

Madrid yaiadhibu Rayo 10-2 La Liga.

Klabu ya soka ya Real Madrid iliifanikiwa kuichapa Timu ya Rayo Vallecano Bao 10-2 katika Mechi ya ligi kuu ya Hispania .

 

10 years ago

BBCSwahili

La Liga:Matumaini ya R Madrid yadidimia

Kilabu ya Real Madrid iligonga mwamba wa goli mara tatu huku nyota wake Christiano Ronaldo akikosa penalti na hivyobasi kupata sare ya 2-2 na timu ya Valencia

 

9 years ago

BBCSwahili

La liga: vita ya El Clasico Jumamosi

Real Madrid na Barcelona zitakutana Jumamosi Dimba la Santiago Bernabeu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani