Barcelona yajipa matumaini, La Liga
Barcelona yaahidi kutoa upinzani mkali kwenye michuano ya La Liga
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
10 years ago
BBCSwahili10 May
La Liga:Matumaini ya R Madrid yadidimia
Kilabu ya Real Madrid iligonga mwamba wa goli mara tatu huku nyota wake Christiano Ronaldo akikosa penalti na hivyobasi kupata sare ya 2-2 na timu ya Valencia
9 years ago
BBCSwahili24 Sep
Barcelona wafungwa magoli manne La Liga
Barcelona wamepata kichapo kikubwa zaidi La Liga enzi ya Luis Enrique baada ya kulazwa 4-1 na Celta Vigo.
5 years ago
Barca Blaugranes07 Mar
Barcelona vs Real Sociedad live stream: Lineups, Kickoff time, TV channel, how to watch La Liga online
Barcelona vs Real Sociedad live stream: Lineups, Kickoff time, TV channel, how to watch La Liga online Barca BlaugranesBarcelona's Lionel Messi accused of 'stamp' against Real Sociedad GIVEMESPORTBarcelona 1-0 Real Sociedad: Braithwaite (and Messi) lift Barca to the top of La Liga SquawkaFC Barcelona announce squad for La Liga match against Real Sociedad Barca BlaugranesReal Madrid: 5 players who must shine against Real Betis The Real ChampsView Full coverage on Google...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LAl787uzrCBG*pObvF6mq7MYIOZ96C-BWHBwufOZUu1cCLSf6xZfl5MjjpawMU81AsPfrTZK*Ni5PEQ4F7CTWRklec5o2AAa/simeone.jpg)
ATLETICO MADRID BINGWA LA LIGA
Wachezaji wa Atletico Madrid wakimnyanyua juu kocha wao Diego Simeone baada ya kutwaa ubingwa. TIMU ya Atletico Madrid imetwaa kombe la La Liga baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Barcelona kwenye Uwanja wa Nou Camp. Kwa ushindi huo wamefikisha pointi 90 wakati Barcelona wakiwa na pointi 87 sawa na Real Madrid ambao wamemaliza wakiwa nafasi ya tatu. Mara ya mwisho kutwaa kombe hilo ilikuwa 1996! ...
11 years ago
BBCSwahili17 May
Atletico Madrid Mabingwa wa La Liga
Atletico Madrid imenyakua kombe la ligi kuu ya Hispania La liga baada ya kutoka sare ya 1 – 1 dhidi ya Barcelona.
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
La liga: vita ya El Clasico Jumamosi
Real Madrid na Barcelona zitakutana Jumamosi Dimba la Santiago Bernabeu
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Vinara La Liga waambulia vipigo
Timu vinara wa ligi kuu ya Hispania za Barcelona na Real Madrid zimeambulia vipigo katika mechi zao za mwishoni mwa wiki.
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Madrid yaiadhibu Rayo 10-2 La Liga.
Klabu ya soka ya Real Madrid iliifanikiwa kuichapa Timu ya Rayo Vallecano Bao 10-2 katika Mechi ya ligi kuu ya Hispania .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania