Barcelona yaidhalilisha Bayern 3-0 UEFA
Lionel Messi na Neymar waliibuka shubiri kwa Bayern baada ya Barcelona kuchomoza na ushindi wa 3-0 nusu fainali ya UEFA
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Oct
Bayern yashinda,Barcelona hoi UEFA
Kitimtim cha klabu bingwa barani Ulaya kiliendelea usiku wa kuamkia leo huku zikishuhudiwa nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto
11 years ago
KwanzaJamii01 Oct
BAYERN MUNICH YASHINDA, BARCELONA YATANDIKWA UEFA
Kitimtim cha klabu bingwa barani Ulaya kiliendelea tena usiku wa kuamkia leo huku zikishuhudiwa nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto kuruhusu wababe wa soka kutoka nchi mbalimbali wakizitafuta point tatu muhimu.
Nchini Ufaransa wenyeji Paris St Germany (PSG), waliikaribisha timu ya Barcelona, hadi mwisho wa mchezo huo wenyeji PSG wakaibuka washindi kwa jumla ya mabao 3-2.
Nchini Urusi wenyeji CSKA MOSCOW wameangukia pua baada ya kufungwa goli 1-0 na wababe wa soka wa Ujerumani Bayern...
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Arsenal, Bayern kundi moja UEFA
Arsenal kwa mara ya tatu katika misimu minne, itavaana na Bayern Munich baada ya kupangwa kundi moja katika michuano ya klabu bingwa Ulaya.
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Bayern Munich, PSG robo fainali UEFA
Timu ya Bayern Munich ya Ujerumani na Paris St. Germain ya Ufaransa zimesonga mbele katika hatua ya robo fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya.
10 years ago
BBC
Bayern Munich 3-2 Barcelona (agg 3-5)
Morocco's Mehdi Benatia scores for Bayern but cannot prevent Barcelona from reaching the Champions League final.
10 years ago
Vijimambo
BARCELONA YAITANDIKA BAYERN MUNICH 3-0




10 years ago
BBCSwahili06 May
Ni vita ya Barcelona na Bayern Munich
Kocha Pep Guardiola anarejea Nou Camp kuiongoza Bayern dhidi ya Timu yake ya zamani Barcelona kwenye Nusu Fainali ya Uefa champions ligi.
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Kivumbi leo UEFA, Bayern,PSG kufa kupona
Mzunguko wa pili hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa barani Ulaya kutimua vumbi Jumanne usiku
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Bayern na Barcelona,watinga Nusu Fainali
Klabu za Bayern Myunik ya Ujerumani na Barcelona ya Hispania zimetinga nusu Fainali katika ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania