BARNABA DIAMOND SIO MWANAMUZIKI WA KWELI ANAIMBA KIUJANJA TU
![](http://4.bp.blogspot.com/-iJA6XX8P3t8/VRVfDkr9OzI/AAAAAAAAqy8/F-qQcQAuQJs/s72-c/sio.jpg)
Jana, Wakati akihojiwa na Mwanadada Shadee kwenye Kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Msanii 'Fundi wa Muziki' kutoka nyumba ya vipaji THT, Barnaba Elias 'Barnaba', pamoja na mambo mengi aliyozungumzia, alitoa maelezo kuhusu wasanii watano anaowakubali na sifa zao Kimuziki ambapo alimtaja Msanii wa BongoFleva Diamond Platnumz kuwa sio 'Mwanamuziki' mwenye kujua kuimba muziki kiufundi.Akifafanua kauli yake kwa mapana , Barnaba alieleza kwamba Diamond hajui kuimba kufuatana na alama zote...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 May
Nigeria:Taarifa ya mgahawa sio kweli !
10 years ago
BBCSwahili19 May
Nigeria:Taarifa ya mgahawa sio za kweli !
11 years ago
Tanzania Daima15 Feb
Sio kweli tumeshindwa kupambana na ujangili
MOJA ya habari kwenye gazeti hili leo, zinamkariri Rais Jakaya Kikwete akiiangukia jumuia ya kimataifa kuisaidia Tanzania kukomesha ujangili unaosababisha mauaji ya tembo na faru kwa kasi ya kutisha. Katika...
10 years ago
Dewji Blog08 May
Tahadhari ya Tsunami inayosambazwa kwenye mitandao ya Jamii sio ya kweli
Tsunami.pdf by zainul_mzige21
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Op57Wx6ZK5c/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog27 Apr
VIDEO: Sio kweli mikoa tuliyochagua ni ngome ya CCM ni upotoshwaji mkubwa wa wanasiasa — NEC
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-6o6J2-cSbJ0/XlK5odK6uFI/AAAAAAALe7w/Q2Z0S7v58W0iRwfjmMxuvi8__ThrKKcLgCLcBGAsYHQ/s72-c/5ce63347-27d7-4bfd-826d-80c592474e51.jpg)
Maji ya Ziwa Victoria Kufika Tabora sio ndoto tena, ni kweli tumeyaona- Wananchi wa Tabora
![](https://1.bp.blogspot.com/-6o6J2-cSbJ0/XlK5odK6uFI/AAAAAAALe7w/Q2Z0S7v58W0iRwfjmMxuvi8__ThrKKcLgCLcBGAsYHQ/s640/5ce63347-27d7-4bfd-826d-80c592474e51.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/4-35.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/PHKC1AOWfhzOux2PIeCve8TL-Yd7ufOysm3F2VFdFTdB7a9uuL5XcEAGqRYU1jQR5HoyrgxvGdg2SuknBa98iMP-tMTkhzlp/Diamond1.jpg?width=650)
BABU AYOUB: DIAMOND SIO MCHAWI