Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barnaba kumrudisha tena Naj kwenye game?

Barnaba ni mtu busy pengine kuliko wasanii wote kwa sasa. Muimbaji huyo licha ya kuanzisha studio yake, High Table Sound, ameanzisha lebo na bendi yake pia huku akiendelea kufanya kazi aipendayo zaidi – kuandika nyimbo. Miongoni mwa wasanii wanaotarajiwa kunufaika na kipaji chake ni muimbaji Naj ambaye miaka ya hivi karibuni alipotea. Wawili hao wameingia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Madee kumrudisha shule tena Dogo Janja? Jibu hili hapa

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule. Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya. “Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini […]

 

10 years ago

GPL

SHISHI BABY BARNABA MAHABA TENA?

Stori: Musa Mateja WASANII waliowahi kuogelea katika dimbwi zito la mahaba kisha kumwagana, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’, wamezua maswali mapya kwa mashabiki na kuleta tafsiri kuwa huenda wamerudiana. Mastaa wa Bongo Fleva Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ na Elias Barnaba ‘Barnaba Boy’ beneti. Tukio la wawili hao kugandana kama zamani lilijitokeza...

 

9 years ago

GPL

BARNABA AZUSHIWA KUJIINGIZA KWENYE INJILI

Staa  wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Barnabas Elius a.k.a Barnaba. Boniphace Ngumije STAA wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Vipaji (THT), Barnabas Elius a.k.a Barnaba hivi karibuni alizushiwa na baadhi ya watu wakiwemo marafiki zake wa karibu kuwa amejiingiza kwenye uimbaji wa nyimbo za Injili jambo ambalo amelikanusha vikali. Akichonga na Centre Spread, Barnaba alisema taarifa hizo za...

 

10 years ago

Bongo Movies

Jb Aamua Kujipoteza Kidogo Kwenye 'Game'

Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu nchini, Jacob Steven ‘JB’ ameamua kujipoteza kwa makusudi katika uigizaji akiwa na lengo la kuweka mbele kazi zinazofanywa na kampuni yake ya uzalishaji sinema ya Jerusalemu.

Akizungumzia kazi za mwaka uliopita, JB alisema mwaka 2014 filamu zake tatu za Bado Natafuta, Wageni Wangu na Chausiku zilifanya vizuri sokoni.

“Kwa asilimia 80 mwaka 2014 kwangu umekuwa mzuri kikazi, nimefanya kazi nzuri bila mimi kuonekana kwa sababu nataka Jerusalemu ianze...

 

11 years ago

CloudsFM

KASSIM MGANGA ARUDI UPYA KWENYE GAME

STAA wa Bongo Fleva,Kassim Mganga amerudi tena na Solo Project baada ya kuwa kimya kwa mwaka mmoja, tangu alipotoa ngoma yake ya I Love You baadae akaelezea sababu za kutokutoa video yake then hatukusikia track yoyote kutoka kwake.

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’

Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa. “Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema. “Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani