Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barua kumtaka Wasira aachie nyumba ya SBT yatua rasmi PAC

 Agizo la kumwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira ya kumtaka kurejesha nyumba ya bodi hiyo, limetekelezwa baada ya barua hiyo kuwasilishwa kwenye Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

PAC yaagiza Wasira aondolewe kwenye nyumba anayoishi

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeiagiza Bodi ya Sukari Tanzania (SBT) kumwondoa katika nyumba ya bodi hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira kutokana na kuishi katika nyumba hiyo kinyume na taratibu.

 

10 years ago

Vijimambo

Mawakili wa Gwajima Wajibu Mapigo Waiandikia Barua Polisi Kuhusu Uhalali wa Kumtaka Gwajima Awasilishe Nyaraka 10 za Mali Zake


Mawakili wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, wameandika barua kuliomba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kuandika kimaandishi nyaraka wanazozihitaji azipeleke pamoja na vifungu vya sheria vinavyomtaka awasilishe nyaraka hizo.Barua hiyo iliyosainiwa na Wakili Peter Kibatala iliwasilishwa jana mchana katika jeshi hilo, ikiwa ni siku moja baada ya jeshi hilo kumtaka Askofu Gwajima kuwasilisha nyaraka 10, Aprili 16 mwaka huu watakapoendelea na mahojiano.
Gwajima...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WILLIAM LUKUVI AAGA RASMI SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya Shirika la Nyumba la Taifa kwa Waziri huyo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwa kuonyesha utendaji uliokuwa wa kasi usiochoka wakati Waziri Lukuvi alipotembelea katika Shirika hilo kuaga rasmi.Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya...

 

9 years ago

Bongo5

Roma asema hajapewa barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake na BASATA

Rapper Roma Mkatoliki ameendelea kutawala vichwa vya habari kufuatia sakata la kufungiwa kwa wimbo wake wa Viva Roma Viva. Akizungumza kupitia Planet Bongo ya E A Radio, Roma amesema kuwa yeye binafsi hajapokea barua rasmi ya kufungiwa wimbo wake kutoka BASATA. “Sina jibu la moja kwa moja na napata kigugumizi kwa sababu sina taarifa rasmi […]

 

11 years ago

Mwananchi

Waasi wamtaka Rais Kabila aachie madaraka

Kiongozi wa waasi wa Jamhuri ya Kati Paul Joseph Mukungubila ameikosoa Serikali ya nchi hiyo na kumtaka Rais Joseph Kabila aondoke madarakani.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Kajala Atakiwa Aachie Mume wa Mtu!!

Mwigizaji wa filamu mwenye umbo na mvuto wa kiafrika zaidi, Kajala Masanja  amedaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu. Kwa mujibu wa gazeti la udaku la Amani, mwanamke aliyejitambulisha kwa jina moja la Pamela ameibuka na kumtaka muigizaji huyo kuacha kumfuata mume wake.

Mwanamama huyo, anayefanya kazi ‘nzuri’ katika shirika moja kubwa nchini, aliliambia gazeti hili kuwa Kajala, amekuwa akitembea na mumewe aliyemtaja kwa jina moja la Tanaluza ambaye kwa sasa yuko ndani katika...

 

5 years ago

Bongo5

Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini… – Hanscana

Mtayarishaji wa video za muziki nchini ambaye kwa sasa anafanya kazi pamoja na rapa Darassa, Hanscana, amefunguka kuzungumzia ujio mpya wa rapa huyo ambaye bado anafanya vizuri kupitia hit single yake ‘Muziki’.

Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Hanscana amedai Darassa alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu, lakini ameshindwa kutokana ratiba za show za kimataifa kumbana.

“Kusema kweli alikuwa aachie wimbo mpya mwezi huu lakini show za Rwanda na Burundi zimembana sana, amekuwa na tour ndefu sana...

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri William Lukuvi aagwa rasmi shirika la Nyumba la Taifa !

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya Shirika la Nyumba la Taifa kwa Waziri huyo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwa kuonyesha utendaji uliokuwa wa kasi usiochoka wakati Waziri Lukuvi alipotembelea katika Shirika hilo kuaga rasmi.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokea ngao yenye picha ya chui ikiwa ni ishara ya tuzo ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua rasmi nyumba za makazi za Medeli leo

13

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani